Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
- Thread starter
-
- #41
Ukweli wa Mambo Kile kiingereza Cha kwa Museven kimenifanya ni hoji Sana inamaana alitaka tujue Yuko vzuri ktk lugha ili kuwaprove wrong wale ambao wanamashaka na elimu yake au alikuwa anaendeleza kufuta legacy ya kwenda zake ila pia nimegundua ni ngeli fulan hivi ya English cos Kama ya shishi baby.Mwenzio saa 8 kilimponza hiki hiki
Manchester university elimu yao ni ya mashaka eti? Mzumbe je, nao elimu yao ni ya mashaka.Nimeanza kupata mashaka na elimu yake mkuu sababu Kuna dalili mbaya nyingi kuwa huenda kiwango chake hakiridhishi
Elimu ya kujua mema na mabaya.
MaPhD na Madegree mengi wanayo wasaidizi wake.
Kwa ujumla elimu ya Rais ni kubwa (Urais sio personal,Urais ni Taasisi kubwa /The Executive pillar).
Umekwisha wahi kuuliza elimu ya Mh. Spika?k
Elimu ya Samia aelezea MwenyeweKwa wajuzi naomba kujua kiwango Cha elimu Cha Rais wetu wa Sasa mama Samia suluhu Hassan na pia kujua viwango vya elimu vya Marais watano waliopita na sivibaya tukaujua ni raisi yupi alikuwa na elimu kubwa zaidi na Rais yupi alikuwa na elimu ndogo.Lengo ni kufahamu wasifu na historia za viongozi wetu wakuu wa nchi.
Lakini pia naomba kujuzwa katika katiba Kuna kipengele kinachozungumzia suala la kiwango Cha elimu anachopaswa kuwa nacho rais wa nchi au halijatajwa hilo.
Tatu je kiwango Cha elimu kina athari gani kwa uongozi mkubwa kabisa katika nchi hili ningependa nijulishwe na wabobezi wa siasa.
Inaonesha unayo CV yake tunaomba tuletee hapa kwa ufasaha ili tunufaike.Manchester university elimu yao ni ya mashaka eti? Mzumbe je, nao elimu yao ni ya mashaka.
Kama mzumbe elimu yao ni ya mashaka basi TEKU elimu yao ipo juu, akasome kidogo teku eti?
Basi tuwekee CV yake wewe.Ni punguani peke yake:
1.Anaweza kuangalia TBC
2.Kuiamini TBC
Utata gani tena jamani?Ombi tupeni CV kamili ili tujiridhishe maana inaonekana Kuna utata ktk Hil😵mbi naomba tujulishwe alipopitia mpaka hyo masters.
Nadhani ameuliza kuhusu kiwango Cha elimu ile ya darasaniElimu ya kujua mema na mabaya.
MaPhD na Madegree mengi wanayo wasaidizi wake.
Kwa ujumla elimu ya Rais ni kubwa (Urais sio personal,Urais ni Taasisi kubwa /The Executive pillar).
Umekwisha wahi kuuliza elimu ya Mh. Spika?
Sisi wengine hatuja bahati kuiona tunaombeni mtuletee hapa jamaniBasi tuwekee CV yake wewe.
Sisi tumeisikia ikisomwa na vyombo vya habari.
Hiyo ni PhD ya heshima tu, ata mwinyi anayoPhD gani ya kuungaunga! Mwenye elimu kubwa ni Dr Jakaya mwenye Phd isiyokuwa na shaka.
Yani wewe member wa JF usiokuwa na mbele wala nyuma unamashaka na elimu ya SSH raisi wa nchi?Nimeanza kupata mashaka na elimu yake mkuu sababu Kuna dalili mbaya nyingi kuwa huenda kiwango chake hakiridhishi
TBC siyo chombo cha habari.Siku zote TV ya Taifa pamoja na radio ya Taifa ni chombo cha propaganda cha chama kinachotawala.Kwa nini hujui mambo madogo kama haya?!Basi tuwekee CV yake wewe.
Sisi tumeisikia ikisomwa na vyombo vya habari.
Angeliuza Mama Samia ana Elimu gani?Nadhani ameuliza kuhusu kiwango Cha elimu ile ya darasani
Jamani mbona tunatishana tena situmekubaliana kuwa Sasa hivi ni Uhuru wa kuongea jamani?Yani wewe member wa JF usiokuwa na mbele wala nyuma unamashaka na elimu ya SSH raisi wa nchi?
Huna elimu ya kumpima SS kwa vyeo alivyopitia achana na vyuo alivyopita.Huna huo uwezo.
Ingia U tube ufwatilie zile taarifa zinazohusu kiapo chake...huko utaisikia CV Yake ilisomwa Sana tu.Sisi wengine hatuja bahati kuiona tunaombeni mtuletee hapa jamani
Umeshasikia halafu unauliza ambao pengine hatujasikia..!! Tusitautiane ban tafadhali.Na je Rais wa Sasa amefikia huko maana nliwah msikia yeye mwenyewe Kama elimu yake ni ya kuungaunga.