Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
- Thread starter
-
- #81
Kuuliza ni ujinga nahitaji kujulishwa tatizo langu lipo wapi?mbona unatanguliza mapenzi hata ktk Mambo serious.Ebu acha upuuzi....
Pu....... Mbavu.... Zako.
Mods fungeni uzi huu mtoa mada anajifanya jeuri na mjuaji mjuaji wa kijinga.
Endelea kuuliza.....Kuuliza ni ujinga nahitaji kujulishwa tatizo langu lipo wapi?mbona unatanguliza mapenzi hata ktk Mambo serious.
Kuwa Rais wa Tanzania siyo lazima uwe na Degree.Mama kalipuliwa huko mtandaoni kwa tuhuma kadhaa ambazo siwezi kuziweka hapa ila mojawapo inahusika yeye kutokuwa na degree.
Lakini nakumbuka wakati wanatoa wasifu wake,waligusia swala la yeye kujiendeleza kielimu na kufika mbali na kama sikose alisoma mpaka huko Ulaya.
Swali ni je,madai haya yanatoka wapi kama ni kweli?
Kazi nyingine imeanza huko Twitter na inabidi iendelee kama kauli mbiu yake inavyosema.Sasa sijui atavumilia kwa hizi nondo alizopigwa na yule jamaa kule Twitter?
Wacha tubaki watazamaji.
Katiba inatamka degree ni lazima mkuuKuwa Rais wa nchi siyo lazima uwe na Degree.
Degree ni upumbavu mwingine usio na maana yoyote.
Leta hicho kifungu cha KATIBA.Katiba inatamka degree ni lazima mkuu
Kumbe mko mitandaoni hata mambo ya msingi hamyajui.Leta hicho kifungu cha KATIBA.
Magu alikuwa na PhD lakini akili yake kama ya Chikumbalaga 🤣Ifike mahali mtu apimwe kwa performance yake, sio elimu yake, elimu yenyewe mnayotutambia nazo ni hizo za kukariri?? Msitutishie amani bwana nyieeee
Leta kifungu, acha kuruka ruka kama ngedere.Kumbe mko mitandaoni hata mambo ya msingi hamyajui.
Wewe jamaa niliwahi kukwambia utat.ombewa mpaka mke wako, unakuwa mpashkuna sana wa mitandaoni. Watoto wako utakuja kuwarithisha akaunti za Twitter, JF, insta, fb etc wenzio wakiacha akaunti za benki zimenona. Tafuta pesa ya Samia mwachie mwenyewe. Mmeshaambiwa Kigogo ni January Malope na wenzie, wamenyimwa nafasi Kama walivyotarajia wameanza kuonyesha hasira. Nakuhakikishia zamu hii watanyooshwa asubuhi sana.Mama kalipuliwa huko mtandaoni kwa tuhuma kadhaa ambazo siwezi kuziweka hapa ila mojawapo inahusika yeye kutokuwa na degree.
Lakini nakumbuka wakati wanatoa wasifu wake,waligusia swala la yeye kujiendeleza kielimu na kufika mbali na kama sikose alisoma mpaka huko Ulaya.
Swali ni je,madai haya yanatoka wapi kama ni kweli?
Kazi nyingine imeanza huko Twitter na inabidi iendelee kama kauli mbiu yake inavyosema.Sasa sijui atavumilia kwa hizi nondo alizopigwa na yule jamaa kule Twitter?
Wacha tubaki watazamaji.
Ifike mahali mtu apimwe kwa performance yake, sio elimu yake, elimu yenyewe mnayotutambia nazo ni hizo za kukariri?? Msitutishie amani bwana nyieeee