Katiba yetu inataja degree kama moja ya simu za mtu ili awe rais mkuu.sasa tunaapa kulinda katiba ipi sasa au tuipige chini tu kama tunashindwa kufuata utaratibu tuliojiwekea wenyeweMwacheni mama ainyeshe uwezo wake digrii ni Cheti tu mkuu
Vyeti feki alikuwa navyo yeye.Wenye vyeti feki hamuwezi kumuelewa Magufuli
Hana ila ana masters ya kuunga unga. Huyo alifeli form four,sema aliunga unga. Ila katika maisha mwisho ndo unaocount. Nampongeza baada ya kufeli skuli,hakukata tamaa.
Hilo linawezekana, ila Advance Diploma ni equivalent to degree but sijui kama katiba imeongelea/imetaja pia swala la equivalent qualification kwa wasio na degree ila wanataka kugombea hiyo nafasi.Unaweza ukawa na Advance diploma utaenda masters kama sikosei, na inategemea Uko wapi na unafanya nini kuna wakati ukishakua mtu mzima qualifications sio kipaumbele zaidi ya work experience yako
Leta hicho kifungu, mbona rahisi tu.Katiba yetu inataja kiwango cha elimu cha angalau first degree ndiyo uqualify kuwania na kuwa rais wa nchi hii
Kwa hiyo mama Hana au anayo?Katiba inatamka degree ni lazima mkuu
Wanataka wamzunguke ili wapige pesa kiulaini.Mnataka kujua elimu ya Rais kwani mnataka kutambika?
Siyo katiba ya JMTKatiba iko wazi kabisa Rais anatakiwa kuwa na elimu ya Kidato cha nne na kuendelea
Na je Rais wa Sasa amefikia huko maana nliwah msikia yeye mwenyewe Kama elimu yake ni ya kuungaunga.
Ndio.Mbona Mbowe aligombea 2005 na inasemekana hakuwa na shahada?
Mbowe ana degree ?!Katiba yetu inataja degree kama moja ya simu za mtu ili awe rais mkuu.sasa tunaapa kulinda katiba ipi sasa au tuipige chini tu kama tunashindwa kufuata utaratibu tuliojiwekea wenyewe
Kikwete alikuepo na Degree moja ya uchumi kilimo . Na yenyewe ilikuepo alipata gentlemen degree yenye matokeo ya chini kabisa. Hizo zote Kikwete alitunukiwa tuu na wazungu asilimia kubwa. Nyerere degree ya ualimu Makelele university na Magufuli ana PhD ya chemistry, MSc chemistry na BSc education chemistry and mathematicsPhD gani ya kuungaunga! Mwenye elimu kubwa ni Dr Jakaya mwenye Phd isiyokuwa na shaka.
Huyo msukuuma wenu aliye kuwa DR.alilifanyia nini taifa zaid ya kupandikiza chuki na ukabila usio na tijaKwa wajuzi naomba kujua kiwango cha elimu Cha Rais wetu wa sasa mama Samia Suluhu Hassan na pia kujua viwango vya elimu vya Marais watano waliopita na siyo vibaya tukaujua ni Rais yupi alikuwa na elimu kubwa zaidi na Rais yupi alikuwa na elimu ndogo. Lengo ni kufahamu wasifu na historia za viongozi wetu wakuu wa nchi.
Lakini pia naomba kujuzwa katika Katiba kuna kipengele kinachozungumzia suala la kiwango cha elimu anachopaswa kuwa nacho Rais wa nchi au halijatajwa hilo.
Je, kiwango cha elimu kina athari gani kwa uongozi mkubwa kabisa katika nchi? Hili ningependa nijulishwe na wabobezi wa siasa.
Huyo mwenye Phd mbona katugalagaza Mpaka Basi.Alafu huyo jamaa yako Twitter si nasikia Ni wale jamaa watatu? Alafu majungu usipende kuleta huku.Kwa wajuzi naomba kujua kiwango cha elimu Cha Rais wetu wa sasa mama Samia Suluhu Hassan na pia kujua viwango vya elimu vya Marais watano waliopita na siyo vibaya tukaujua ni Rais yupi alikuwa na elimu kubwa zaidi na Rais yupi alikuwa na elimu ndogo. Lengo ni kufahamu wasifu na historia za viongozi wetu wakuu wa nchi.
Lakini pia naomba kujuzwa katika Katiba kuna kipengele kinachozungumzia suala la kiwango cha elimu anachopaswa kuwa nacho Rais wa nchi au halijatajwa hilo.
Je, kiwango cha elimu kina athari gani kwa uongozi mkubwa kabisa katika nchi? Hili ningependa nijulishwe na wabobezi wa siasa.
Kuunga unga si inshu, muhimu ni Elimu.Na je Rais wa Sasa amefikia huko maana nliwah msikia yeye mwenyewe Kama elimu yake ni ya kuungaunga.
Hoja yako imekaa kimtego, kwamba unayo majibu kichwani mwako, na ndiyo maana watu wanakwepa swali lakoJamani mbona unazunguka sana nijulishe unachokifahamu wewe kuhusu hayo maswali yangu usipige ramli