Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Ukifika singida kama wee ni mwanaume hakikisha unafunga zipu ya suruali yako vizuri, usihangaike na wanawake, kwani kwa madawa ya kukufilisi kwa ngono wako vizuri mno.. jamaa alitoka Nairobi kununua vitunguu ilibidi ndugu zake wakamtafute. Alihamia kwa mwanamke hana tena mtaji. Siyo mchezo.
Kwahyo mwanamke akawa anamlelea [emoji16]


Basi wana roho nzuri wanawake wengine wakikupalamba chenchi zote wanakukimbia
 
Nimesafiri hivi karibuni kupitia dodoma na singida.....aisee dodoma ni pa hovyo sana kupafanya makao makuu kulinganisha na singida, hususan kwenye hali ya hewa na location singida ilipo dhidi ya Dodoma, nafikiri wanaoyajua hayo maeneo wataniunga mkono.

Serikali ibadilishe haraka maamuzi ipaendeleze singida pawe makao makuu ya nchi.
Pambana Uwe Raisi uje ufanye Maamuzi hayo
 
[emoji28][emoji28] kwani wewe umeacha kuzichakata..naona baada ya kutoka bariadi sasa unataka ukaweke kambi singida...ua zichakate kwa ukaribu zaidi mbususu za singidani.

Ukifika huko usiache kuleta mrejesho.

#MaendeleoHayanaChama
Nikifika huko nitakupa ripoti [emoji16]
 
Singida ni moja ya mikoa mikubwa nchini, anzia kazikazini inakopakana na mkoa wa manyara mpaka kusini inakopakana na mkoa wa mbeya. Ni mkoa ulio katikati ya nchi uwekewe mikakati ya kimaendeleo kwa miundombinu yote ikiwemo uwanja wa ndege mkubwa
 
Back
Top Bottom