Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Hospital ya rufaa haina foleni kbs Ila kwa wagonjwa wa OPD haihudumii so lazima uende ya mkoa yenyewe Labda kwenye kuzalisha sawa inawazalisha...hii ya mkoa Kuna foleni hasa ukienda asubuhi unaweza kushangaa unamaliza matibabu mchana saa nane ila maabara Yao iko vzr baada ya kujengwa mpya
Samaki wanapatikana kwa wingi mkuu??
 
Kwamba singida kuna wazungu wanne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pamoja na kuwa sikupapenda ukame sana, maji ya shida.
Kuna uzuri wake, kuku wengi bei chee, nyama ya mbuzi nyingi bei chee, wanyiramba ni wakarimu niliwapenda... nilikua nakaa na tsh 30000 tu ndani inamaliza mwezi mishahara inakutana kwenye account matumizi hakuna
Kunbe ulikua Kiomboi mi nlifikiri Singapore Town
 
Nilisoma mwenge hapo kiukweli maisha Singida ni average,.huduma zote za msingi hazisumbui shida ni mji mdogo bado halafu mchana panapooza sana..ukitaka uenjoy ni uende as visit week hiv utaupenda mji ila kama ni makaz ya kudumu na umetoka mikoa iliyo changamka bas vumilia.
Singida imechangamka kuliko Tanga
 
Kuna mmoja nilikutana naye ni pisi kali. Jioni nikamvizia mdogo wake nikampa kikaratasi chenye namba ya simu.
Akanicheki, nikaenda naye gheto halafu ni mke wa mtu na aliolewa kwa sherehe na anaishi dar ila alikuja Singapore kusalimia.
Nililala naye siku 1 hata haungaiki. Awe ameolewa hajaolewa kuwamega rahisi sana.
Nasikia maji mara moja
 
Back
Top Bottom