Pan AM
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 325
- 461
Nimekumbuka kulikuwa kunaitwa Kititimo.Pale njia panda(penye makutano ya Barabara za Arusha, Ngimu na Makiungu)?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumbuka kulikuwa kunaitwa Kititimo.Pale njia panda(penye makutano ya Barabara za Arusha, Ngimu na Makiungu)?
Aisee,miaka hiyo tulihamia hapo kutoka Tambaza,enzi hizo.Nimemaliza form 4 Mwenge miaka kadhaa iliyopita,nitarudi kutembea aisee.
Huu sasa ni uongo wa mchana kweupeHistoria ya huko hakuna mwanamke wa makabila ya hapo mwenye historia ya kudumu ktk ndoa kwa miaka mitano
Mkuu haya mafuta lita 5 shs 16,000 ni bei ya lini?au huzungumzii alizeti?Chakula kipo Cha kutosha
Mahindi debe 4000
Mafuta Lita 5 16000
Maharage ta njano kilo 1700
Mishkaki ya mbwa ya itoke wapi kuku wamezagaa kila konaBado kuna mishkaki ya mbwa pale stand mpya..?
Bila kumalizia mwisho wa reli basi tour yak haitakuwa na maana. Fika kule ukitoka Tabora, hutajuta.Nashukuru kwa maelezo machache niliyopata toka kwa Ndege Jon and co Imani yangu nitaendelea kuoata zaidi,,,,wale wa mkoa wa Tabora kesho tutajuzana ya huko kwenu maana nataka kufanya maamuzi ni wapi niende
Unasikiliza kupitia masafa gani? Hata hao unaowasikia na wenyewe walisikia, hivyo ibaki kusikikanasikia maziwa na nyama ya punda ni dili huko!?
Maisha ni mazuriWadau habari za weekend!
Naomba wenyeji ama yeyote mwenye ufahamu na mkoa wa Singida hususani wilaya Singida Dc anifahamishe yafuatayo.
1. Maisha ya pale kwa ujumla eg nyumba za kupanga kiasi gani, chakula, upatikanaji wa maji, hospitali, kabila gani wako pale ambao ni popular.
2. Viwanja vya kupumzikia eg bar, lodge, restaurant na mengineyo.
3. Vyuo na vilipo, tabia na menendo ya watu wa Singida, mitaa!
Na yapi ya kuzingatia mtu awapo Singida, hali ya hewa bila kusahau miiko yao na tamaduni zao.
Wale wa Tabora jiandaeni uzi wenu unakuja.
Singida dc means Singida mc na halimashauri ya SingidaMaajabu, kauliza ya singida dc anajibiwa ya singida mc. Singida dc ni vijijini, eneo la singida dc wakazi wake wengi ni wanyaturu, japo kuna wahamiaji wasukuma. Wanyiramba wengi wapo Iramba. Wilaya ya Iramba ina majimbo mawili, magharibi na mashariki, huko kote ni wanyiramba wengi japo kuna makabila mengine kwa uchache kama wanyisanzu, wanyaturu, wahazabe na wasukuma. Idadi ya makabila ya maeneo haya inaonekana wazi. Kila kabila lilipo singida dc lina miiko, mila na desturi zao kulingana na tamaduni zao. Kwa ujumla tabia za haya makabila yaliyopo singida dc zinafanana, ni watu wakarimu wanaopenda wageni
Aseee huu ni uongo au ni kwa kijijini hii bei.Chakula kipo Cha kutosha
Mahindi debe 4000
Mafuta Lita 5 16000
Maharage ta njano kilo 1700
Shukrani sana kwa maelekezo.Maisha ni mazuri
Vyakula vingi vipo kwa bei nafuu kama mahindi,viazi vitamu,mchele,maharage,vitunguu na kuku wa kienyeji bila kusahau asali
Vyumba vya kupanga vipo 15 hadi 80 k ni wewe tu
Viwanja vya starehe ni vingi sikuizi
Rode,Renzaure,kbh nk
Vyuo ni vichache na ni vya kati vitoavyo diploma
Kiasili mji wa wa Singida upo katikati ya makabila mawili ya jamii ya kinyaturu upande wa kusini na magharibi ni wahi(akina lisu na simbu) na upande wa mashariki na kaskazini ni wairwana (akina nyalandu) hapa inatakiwa uishi nao Kiana mfano wanawake wa kiahi ni matapeli na wajasiri kukufanya chochote tofauti na wairwana ambao wao ni waongeaji zaidi ya vitendo
Hivyo kuufanya mji usiwe na Mila strong na kwa saivi mji unapopulation kubwa inayoundwa na wanyaturu,wachaga,warangi na wanyiramba
Usafiri ni bajaji huku kila moja hapendi shida
Mandewa watu wamejenga kwa fujo.mijumba mikubwa mikubwa pale kama jiwe la waashi.nilipita nikaona kuna hospital wkaaasema ni ya mbunge.sijui kama imeanza kazTown pamechangamka Sasa hivi wageni wanajenga kwa Kasi tunashukuru wachaga wame Jenga mno mpk viwanja vimekuwa ghali..mtaani barabara sio nzuri Sana vumbi lipo Sana ila kwa kuwa kamji kadogo na Kuna mabwawa mawili yanatupa faida
Ukweli ni kwamba Singida ni pazuri kuliko DodomaNimesafiri hivi karibuni kupitia dodoma na singida.....aisee dodoma ni pa hovyo sana kupafanya makao makuu kulinganisha na singida, hususan kwenye hali ya hewa na location singida ilipo dhidi ya Dodoma, nafikiri wanaoyajua hayo maeneo wataniunga mkono.
Serikali ibadilishe haraka maamuzi ipaendeleze singida pawe makao makuu ya nchi.
Vipi totos huko
Songeraa zigizigi!!![emoji13]Mayu mbi ?! Iza . Ahahahaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. kumbe wa kati hapo tu !
Huyo naona kapata kazi kwenu huko .