Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Umeacha kuuza mtumba mzee??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu dunia ya Sasa hujui watu tunafanya mishe mishe nyingi

Iko hv yale mashati dakika ya mwisho nilimpa mjomba wangu akakopeshe watu wa bush maana kipindi hiko walikuwa hawana hela so Leo ndo nateremka bonde la ufa huko kuchukua alizeti badala ya pesa..baadae alizeti naianika naikoboa then mafuta nauza
 
SI bado mkoa mchanga ila siku hizi vibe yapo juzijuzi nandy alikuja regency watu walikuwa Wengi mpk nilishangaa kujua kumbe wazungu pia wapo sgd walikuwa Kama nane hivi



Labda Kama walikuwa na kazi yak maalumu
Kwamba singida kuna wazungu wanne 😂😂😂😂

Pamoja na kuwa sikupapenda ukame sana, maji ya shida.
Kuna uzuri wake, kuku wengi bei chee, nyama ya mbuzi nyingi bei chee, wanyiramba ni wakarimu niliwapenda... nilikua nakaa na tsh 30000 tu ndani inamaliza mwezi mishahara inakutana kwenye account matumizi hakuna
 
Back
Top Bottom