Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Nimesafiri hivi karibuni kupitia dodoma na singida.....aisee dodoma ni pa hovyo sana kupafanya makao makuu kulinganisha na singida, hususan kwenye hali ya hewa na location singida ilipo dhidi ya Dodoma, nafikiri wanaoyajua hayo maeneo wataniunga mkono.

Serikali ibadilishe haraka maamuzi ipaendeleze singida pawe makao makuu ya nchi.
 
Nimesafiri hivi karibuni kupitia dodoma na singida.....aisee dodoma ni pa hovyo sana kupafanya makao makuu kulinganisha na singida, hususan kwenye hali ya hewa na location singida ilipo dhidi ya dodoma, nafikiri wanaoyajua hayo maeneo wataniunga mkono. Serikali ibadilishe haraka maamuzi ipaendeleze singida pawe makao makuu ya nchi.

Tusharejea Magogoni, msituchoshe.
 
Hospital iko mpya ya rufaa iko mandewa ila gharama zake ziko juu

Iko ya mkoa Ila foleni ndefu
Iko ya sokoine pia

Za private za mjini in tumaini na mzalendo zote ziko mjini
Nje ya mji iko puma ya misson na makiungu pia hydom Ina hadhi ya rufaa
Asante Sana Ndege Jon
 
Nimesafiri hivi karibuni kupitia dodoma na singida.....aisee dodoma ni pa hovyo sana kupafanya makao makuu kulinganisha na singida, hususan kwenye hali ya hewa na location singida ilipo dhidi ya dodoma, nafikiri wanaoyajua hayo maeneo wataniunga mkono. Serikali ibadilishe haraka maamuzi ipaendeleze singida pawe makao makuu ya nchi.
Hizi ni ndoto za mchana jua linawaka kali Sana
Toka usingizin huko

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom