Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Nashukuru kwa maelezo machache niliyopata toka kwa Ndege Jon and co Imani yangu nitaendelea kuoata zaidi,,,,wale wa mkoa wa Tabora kesho tutajuzana ya huko kwenu maana nataka kufanya maamuzi ni wapi niende
 
Wenyeji ni wanyiramba na wanyaturu watto wa kike ni gusa unate, wanapenda sana wagen na ni wakarimu sio wagomvi watu wa singida, maisha sio magum ni ya kawaida unaweza kuyaafodi
Habari ya mwemwe munyapaa, Mpola za mpindi
Nziza du
Wadifiya
sahihi kabisa jibu limejitisheleza
 
Nashukuru kwa maelezo machache niliyopata toka kwa Ndege Jon and co Imani yangu nitaendelea kuoata zaidi,,,,wale wa mkoa wa Tabora kesho tutajuzana ya huko kwenu maana nataka kufanya maamuzi ni wapi niende
Njoo singida mkuu hutajutia na km tabora Labda nzega ila kibishara igunga
 
Back
Top Bottom