Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Naomba kufahamishwa kuhusu mkoa wa Singida

Maji sio laini

Ila Kuna visima hapahapa mjini vina maji laini japo zamani ndo yalikuwa laini Sana ila kwa hizi siku sio laini sana
Town kuna vumbi vumbi au pamepoa?..

Hospital ya rufaa inahudumia watu wengi sana?..yaani ina foleni kubwa sana?
 
Town kuna vumbi vumbi au pamepoa?..

Hospital ya rufaa inahudumia watu wengi sana?..yaani ina foleni kubwa sana?
Town pamechangamka Sasa hivi wageni wanajenga kwa Kasi tunashukuru wachaga wame Jenga mno mpk viwanja vimekuwa ghali..mtaani barabara sio nzuri Sana vumbi lipo Sana ila kwa kuwa kamji kadogo na Kuna mabwawa mawili yanatupa faida
 
Kuhusu swali langu ya hospitali hujajibu
 
Kuhusu swali langu ya hospitali hujajibu
Hospital ya rufaa haina foleni kbs Ila kwa wagonjwa wa OPD haihudumii so lazima uende ya mkoa yenyewe Labda kwenye kuzalisha sawa inawazalisha...hii ya mkoa Kuna foleni hasa ukienda asubuhi unaweza kushangaa unamaliza matibabu mchana saa nane ila maabara Yao iko vzr baada ya kujengwa mpya
 
Wewe utakuwa unakaa Unyankindi kwenye maji ambayo siyo laini.Maji yanayotoka Mwankoko ni laini kabisa
Naujua huo mradi wa mwankoko Ni kweli una maji laini..Sina uhakika Kama mpaka Huku karakana tunatumia hayohayo
 
Sio kweli...punda hutumika kutoa mkaa Kijijini na kuja kuuzia town .pia kuendeshea matela.....HAKUNA biashara ya punda kwa ajili ya nyama
Mkuu unataka mafuta Lita 20 Sema utamkabidhi mtu maana mim sipo tz
 
Kijijin debe LA alizeti wanauzaje? Au gunia LA debe 7?na Mavuno ni kipindi gani? Usinichoke bro
Sasa hivi ndo wanavuna Sana debe 5000 na Mimi Leo ndo naenda kukusanya alizeti means gunia 30000

Kwenye kiwanda ukipeleka unakamuliwa bure wewe unawaachia mashudu

Kama alizeti iko bomba Basi gunia moja unapata Lita 20
 
Sipapendi sana ila ni pazuri kama unapita mara moja ukiwa kwenye mapumziko ya mwaka na vijisenti kidogo...
 
Back
Top Bottom