Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Endelea basiiiii hiyo picha ina maana gani???

Hakuna mwenye maana kamili juu ya hiyo picha. Ila tuu, mambo mengi yaliyomo katika hiyo picha ni kama baadhi ya wadau walivyotangulia kusema hapo kabla. Ngoja nikupe summary ya baadhi.

1. Picha inabadilikabadilika face impression yakeukiiangalia tokea angle tofautitofauti.

2. Kuna wanaoona kuwa kuna alama za secret societies kama Freemason, skull and bones ndani ya hiyo picha.

3. Kuna wanaoona kuwa hiyo sura ni mjumuisho wa sura mbili kati ya mwanamke na mwanamme.

Bonus :

Ni miongoni mwa picha aghali katika kipindi chake. Kwani Miaka ya 1500, mfalme Francis I wa ufaransa aliinunua picha hiyo kwa kilo 13 za dhahabu ambayo kwa leo ni sawa na dola laki sita na nusu za kimarekani.
 
Wewe unatishia tishia au sijui unapima watu?

Hayo yoote unayoyaelezea kwanini usifunguke zaidi?

Assume yeye hayajui...si ufunguke kwa msaada wa wengine?
Tatizo ni kwamba mnajifanya kujua kumbe hamjui mlijualo...nyie mmekaririshwa na baba mchungaji kuwa secret societies ni waabudu shetani bila hata kujua chanzo cha hizi societies ni nini. Nyie mnachojua ni kua secret societs ni freemason na illuminat, mnasikitisha sana.
Nilijua mnajua ili tujadili kwa maana ya kupashana elimu. Kama ni imani hata mimi ni mkristo safi kabisa lakini siwezi kuifunga akili yangu kwa kigezo cha imani.
Naombeni majibu ya maswali yangu ya hapo juu na kama hamjui basi nyamazeni ili muelishwe na si kubisha msilolijua
 
Wewe unabwatabwata tu hapa na kukimbia maswali ya kuelezea vitu unavyojifanya unajua.

Wewe umetuuliza, tumekuambia hatujui,elezea basi unachokijua wewe.
 
Swali linakuja je hizo feelings utaziona kwenye picha hiyo hiyo original tu iliyoko France au hat akwa picha zingine copy ya Monalisa zilizochorwa na wasanii wengine??
mimi niliyoangalia sijui kama ilikua ni original or copy coz nliiona kwenye kitabu flan cha historia ya Europe, bt nlichotaka kuona nlikiona
 
mimi niliyoangalia sijui kama ilikua ni original or copy coz nliiona kwenye kitabu flan cha historia ya Europe, bt nlichotaka kuona nlikiona
Niambie basi uliona nini na sie tujue
 
Yaani we acha tu.
Ina maana mie nikiwa nampenda sana mtu fulani basi nitaambiwa na-date nae.
Wangapi wanafanana na watu huko mabarabarani lakini sio ndugu zao na hawana undugu hata wa utaifa.
Washazoea kuchezea akili za Lema, basi wanajua kila mtu wa kumchezea.

Wanaume wa humu wameshindwa kutetea hoja ya mtoa mada, wanaishia kurukaruka tu kama popcorn watoe jibu tuone kidume wa kweli hapa, sio tunacheka na vidume humu Jf, kumbe hata mahakamani watatukimbia na kutuachia kesi wenyewe
 
Mkuu, Bwana Yesu aliishi miaka takribani 1500 nyuma ya Da Vinci, sasa huyu jamaa alijuaje haya hata akaichora hii picha ya huyo Sarah. Na tujiulize pia kwanini mfalme wa France wakati huo aliitaka na kuinunua picha hii kwa bei ghali sana??
 
Asante.
Mpaka hapa wewe na The King of Jews ndo wanaume humu.
Wengine wanaambiwa waeleze, wanaanza kuleta stori za Simba na Yanga.
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu.

Nangojea wanaume wengine waeleze,
Maana wanasema uanaume sio kuvaa suruali tu, ni pamoja na kupangua hoja kiu-yakinifu mbele ya hadhara.
Ila fact ya 4 sijaielewa, wanaposema upande Ke na upande Me, ina maana ushoga ulikuwa ruksa au?
 
Na picja orijino ya Monalisa ni ipi ?
Nataka kuwafaham hao night templar ni kina nan na kwanini waliuwawa?? Ntapenda kufahamu tu
Kuna mtu nimemuonesha hiyo picha nikamuuliza unaijua?akasema hapana ,,nikamuambia hii picha unaona nini ? Akasema naona kama anatabasamu halaf ananuna,halaf kama mwanaume upande mmoja hivi ,,,halaf akaona kwenye mkono kuelekea begani akasema kuna sura ya mtu mwingine hapo
Nikasema na humu mmesema hivyoo kuna watu wanajua kuona aisee ,,akasema kuna vifaa ukitumia kuangalia hii picha kuna vitu vingi utaona
 
Asante mkuu lakini maelezo yako yanakanganya sehemu kubwa sana. Picha iko Ufaransa, ilimaliziwa na Leonardo mwenyewe na ndio maana mfalme wa kipindi hicho aliinunua, asingeweza kununua kitu hakijakamilika. Leonardo alikarbishwa na mfalme kwenda kuchora/ design kitu fulani na ndipo alipopata fursa ya kumuonesha mfalme picha ya Monalisa na ikapendwa na ndio kisa haswa kwanini picha imechorwa na mu Italiano lakini hadi leo ni mali ya Ufaransa.
 
Asante mkuu, nimependa mchango wango asante sana. Kuna mahali nami nilisoma kua huo mtindo wa uvaaji kwenye picha ni wa kiume kwa enzi hizo, huwezi mkuta mwanamke kaacha sehem kubwa ya kifua hivyo. Sasa Leonardo kachora mdada na kamvalisha kiume, ujumbe ni nini? Bado mtihani
 
Ndio nmeona sasa sura ya mtu begani....

kweli kusoma picha inahitaji ustad wa hali ya juu
 
Hapana kabisa, Na ukweli ni kwamba Leonardo da Vinci hakuwa shoga kama wengi wanavyosema ila kazi yake ilimfanya awe busy sanaa hata kuonekana haikuwa rahisi at all.

Kuhusu jicho la kushoto pamoja na lips za Mona Lisa, hizo ni sehemu pekee zinazoifanya sura yake kuwa na muonekano wa kiume pia.

Katika mkono wa kulia wa Mona Lisa, juu ya kuelekea mabegani kuna picha ya mwanaume anayehuzunika, ila utaiona tu utakapopata picha yake akiwa anageukia upande wa pili, angalia kwa umakini.
 
Mkuu, Bwana Yesu aliishi miaka takribani 1500 nyuma ya Da Vinci, sasa huyu jamaa alijuaje haya hata akaichora hii picha ya huyo Sarah. Na tujiulize pia kwanini mfalme wa France wakati huo aliitaka na kuinunua picha hii kwa bei ghali sana??
Hii picha ilikuwa ni nzuri sana kwa wakati ule ila inawezekana ilivuviwa nguvu flani ya kuvutia watu mashuhuri.

Kwaajili ya picha hii mfalme wa ufaransa yaani Francis alimpa da Vinci nyumba kubwa sana ya kifahari ya kuishi bure...the Palace.
 
Mambo bado hayajakaa sawa bado vitu vingi vimefichwa kuhusu hiyo picture ama kweli dunia ina mambo The bold na @ MziziMkavu njooni tusaidie kuichambua hii photo.
 
Yelewiiiiiii.....asa jamani mbona huyu Vinci alikuwa anachanganya sana na machapisho yake.
Ila kuna mahala nimeona wamesema kuwa hiyo picha haikumaliziwa kuchora na mwenyewe akafa.
Asa nani aliimalizia?
Au mtoto wake?

Ila jicho na lips sio atakuwa amefanana na baba yake tu au ndo picha reality ya mwanaume kamili imejichora?
Hiyo picha begani sikuijua hata, mpaka nilipozoom.

Kweli kuna watu wana vipaji.
Nasikia ndani ya huo mchoro kuna michoro 7 ndano yake.
Nimeona wa sura begani tu, mingine hata nipewe mwakwa sijui kama nitaiona.
Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…