Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Sasa hayo yana uhusiano gani na Mona Lisa?

Huyu Mona Lisa ndiye aliyekuwa mpenzi wa Yesu?
 
sasa naona dalili ya kuchanganyikiwa hapa......mh ngoja nikae kwa kutulia
 
Inaweza kuwa ukweli au uongo. Yote haya ni kwasababu Mazungu yameweka njia nyingi za kututawala, ikiwemo njia kuu kututawala kifikra.
Haiwezi kuwa ukweli kamwe

Hiyo idea/ Huo uongo ulianzishwa na Atheists na Waabudu mashetani wa miaka ya zamani sana ili kuvunja imani ya Kikristo na kupata agents na ikaja kusapotiwa na wenye dini tofauti na ukristo kuaminisha watu kuwa Yesu alilala na mwanamke hapa duniani na kuzaa mtoto.
 
Huo ni uongo...Atheists na Devil woshippers ndio walianzisha uzushi huo ili kupata agents ulaya.
Mkuu knights templar pamoja na priori of zion unawajua? Walikua ni waabudu shetani? Na majukumu yao yalikua ni yapi?
Je unazijua cue-records? Zinahusiana na nini?
 
Hiyo ilichorwa na Leonardo da Vinci mwaka 1505,huyu alikuwa Mtaliano. Ni picha ya mwanamke mmoja aliyempenda. Ila wataalamu wa ku "decode" yaani kufichua kilichojificha wanasema sio sura ya mwanamke huyo tu, Bali picha ina habari nyingi,. Wanasema ukiiangalia unaona kama vile huyo mwanamke anakutizama. Huyo Leonardo da Vinci alikuwa na uwezo wa kutumia mikono yake miwili kwa wakati mmoja, yaani anaweza akawa anachora (paint) kwa mkono mmoja, na kisha mkono mwingine akawa anaandika. Alikuwa na akili sana "genius". Alikuwa ni mhandisi, mchoraji majengo, mchongaji (sculpture), mvumbuzi n.k. Wanasema alikufa kabla hajaimalizia kuchora picha hiyo. Na wanazidi kujiuliza nani aliimalizia na kuikabidhi. Na kuna swali jingine la kwamba je ilifikaje nchi ya Ufaransa.. Na mpaka sasa sijui mchoro halisi wa Mona Lisa (original paint) iko wapi maana wakijitokeza watu wengi wakabuni mchoro huo. Huenda pale mchoro halisi ulipo utakuwa unalindwa sana.
Leonardo da Vinci alikuwa akisema yeye alizaliwa katika ukoo wa Yesu. Huyu Leonardo da Vinci pamoja na mchoro wake wa Mona Lisa Kuna siri nzito ambazo mpaka sasa ufafanuzi wake haujawa sawa sawa. Huyo mwanamke inaoneka alikuwa mke wa mtu maarufu, pia Kuna walio sema kwamba Leonardo da Vinci alikuwa shoga "gay".
Hii nilioandika ni kidogo sana, najua wengine wataelezea zaidi
 
Mkuu knights templar pamoja na priori of zion unawajua? Walikua ni waabudu shetani? Na majukumu yao yalikua ni yapi?
Je unazijua cue-records? Zinahusiana na nini?
I used to read hivyo vyote miaka ya nyuma mkuu, tena kama vitabu vitatu ila nilikuja kupata final work ya muitaliano mmoja aliyeweka wazi kuwa:

Yesu Kristo wa Nazareti hakuwahi kulala na mwanamke duniani wala kupata mtoto.

Ngoja nikikipata hicho kitabu na kina evidences mbalimbali nitakutumia.
 
Mwenye kujua ukweli, plz tuko wengi tunahitaj kuujua
Mkuu...to stick to the picture, kwanza ni picha ambayo da Vinci alitumia muda mrefu sanaaa kuichora, yaani mpaka 1517 ndio aliimaliza.

Ila inaaminika na wengi kuwa ina siri nyingi tu kuanzia colour zake,

mfano, black colour ya nywele zake ina maana yake, jaribu kugoogle

Nguo alizovaa na maana ya uvaaji akimaanisha utawala wa kifalme, pamoja na namna alivyoweka mikono.

Pia hii picha ukiiangalia kwa umakini utagundua huyu si mwanamke tu ila kwa upande flani ni mwanaume, hasa ukichunguza mdomo na jicho la kushoto.
 
sasa naanza kuamini ule usemi ambao Yesu alimwambia mtume Petro " wewe ndio simon petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, na wala milango kuzimu haitalitikisa......!

na kwanni aseme milango ya kuzimu, ni kwakuwa kila kukicha maadui wanaongezeka na kutengeneza hoja kuhusu ili kanisa, Kiuweli halitayumba wala kutikisika ndugu mwandishi, wapo watu maarufu na wapo kwenye kumbukumbu za kihistoria walishindwa..
fuatalia ilo hata ww utaona, tena ndani ya nafsi yangu nasema huyu Leonard da Vinci si dhani kama anaweza kuwazidi hao watu maarufu na mashuhur waliotajitahid na kwa uwezo wao kulitikisa kanisa mfno Dr Martin Luther
 
Hujajibu maswali yangu...kwanza jibu maswali yangu ndo tutaenda sawa
 
Kwanini huamini kwani habari za yesu nazo si ulizisoma tu au, kitu gani kinafanya uamini ya yesu usiamini hii, kama kuna unalojua nasi tujuze
 
Bado nasubiria jibu naona wadau wengi wanaruka ruka tu hakuna aliyetoa jibu la moja kwa moja kwa maana ya aelezee kwenye hiki kinamaani hivi na hiki kinamaanisha hivi.
 
Kwanini huamini kwani habari za yesu nazo si ulizisoma tu au, kitu gani kinafanya uamini ya yesu usiamini hii, kama kuna unalojua nasi tujuze
Mkuu peterchoka, Yesu wa Nazareti alikuwa na wanafunzi 12, aliyekuwa karibu naye upande wa kulia ni Tomaso (Thomas) na kwa upande mwingine huyo wanayesema alikuwa mwanamke ni Yohana (John)

Na hao wengine waliobaki ni Petro anafuata baada Yohana thn Yuda....kuendelea, wa mwisho kabisa ni Batholomayo.

Sio kwamba napinga kwsbb hata mimi sikuwepo, ila hii issue ilishajadiliwa sanaa Europe na muafaka ulipatikana kbs kwa mwandishi mwingine maarufu wa Italy kama nilivyokuambia.

Kuna kitabu nitakiupload na utakielewa vizuri, ila ktk mlo wa mwisho wa Yesu na wanafunzi wake jioni ile hakukuwa na Mwanamke miongoni mwao.

Na hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa Yesu aliwahi kuwa na mwanamke yeyote na kupata mtoto mpaka siku ya mwisho wake kuishi hapa duniani.

Atheists, devil worshippers na waarabu wa mediteranian ndio walianzisha hizi rumuors ili kuua nguvu imani ya kikristo.
 
Katika historia yake leonardo da vingi hakwenda shule hivyo vyeo vyote kuvipata wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…