Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Na ndugu zetu majaidina wanapenda sana hizi story....Wanakwambia Injili ya Barnaba eti inafuchua kila kitu..
 
Mkuu naomba hapo kidogo tukizane, Yesu alimanisha Yohana mwanafunzi na sio Maria Magdalena.

Uko sahihi. Yohana katika biblia ndo alikua mdogo kabisa katika mitume wake na ndo wa mwisho kufa. Biblia inaposema mwanafunzi aliye mpenda Yesu alikuwa ndo huyo. Si tu kuwa yesu alimpenda bali pia walifanana sana kiasi hata Yuda alitumia ishara ya busu ili aakari wasilamate asiye. Huyo ndo Yohana ambaue Yesu alimzaa na Magdaleni. Narudia siyo mimi bali davinci code!
 
Kwa ninachojua picha hii inaitwa the past supper na ilichorwa na leonardo da vinci mwaka 1494 mapaka 1495 na alikuwa ni raia wa Italia na pia alikuwa mwajasayansi na alichora picha nyingi za vifaa vya vita ambavyo vinatumika kwa sasa.
 
kwa kukusaidia fasta fasta tafuda kitabu kinaitwa da vince code, kipo ktk pdf usome mwenyewe


Kwa ninachojua picha hii inaitwa the last supper na ilichorwa na leonardo da vinci mwaka 1494 mapaka 1495 na alikuwa ni raia wa Italia na pia alikuwa mwajasayansi na alichora picha nyingi za vifaa vya vita ambavyo vinatumika kwa sasa.
 
Kwahiyo kwenye hiyo picha ni mtoto wa yesu au?
 
Hebu simulia kidogo maana unaelekea kuelewa vitu
 
Mkuu kifaransa.... Andika japo kwa ufupi basi wengine hatuambulii kitu hapo.....
 
Hii picha ni muunganiko wa sura mbili kushoto ni mwanamke upande wa kulia ni mwanaume.Neno Mona ni contraction ya neno Madonna.
 
The Monalisa Painting Iko popular kwa sababu kipindi inatengenezwa (smwhere around 5 centuries ago), uyu jamaa leonardo alitumia technique ya painting ambayo kipindi icho ilikua ya kimapinduzi.. aliweza kuchora picha yenye depth na detail za kutosha kama 3D drawing katika kipindi ambacho michoro mingi ilikua flat tu na haikua na uhalisia wa kiwango cha juu.... pia ata lile pozi monalisa alilokaa ndo lilikuja kuwa standard ya portrait zingine zilizofuata mpaka leo..
 
Acha urongo wewe....Yani unapindua alichokisema....Kwakifupi alisema vitu alivyoandika ni fiction na sio kweli..

Kwenye ulimwengu huu wa digital kudanganya ni ngumu
Asante Mkuu. JF kuna wapotoshaji sana. Kuna mtu ameweka PDF ya Da Vinci Code humu. Ukurasa wa kwanza tu, Dan Brown ameweka wazi kwamba katika kitabu hicho vitu ambavyo ni facts ni viwili tu, the Priory of Sion na Opus Dei, basi. Vingine vyote ni fiction.
 
nadhani itakuwa hii.
 
hahaha [HASHTAG]#Monalisa[/HASHTAG]. Knobs mimi sioni ohochote apo.
 
jina kamili ni bwana Leornado Di Ser Piero Da Vinci. . Ikiwa na maana ya mtoto wa bwana Piero kutoka Da Vinci alizaliwa miaka ya 1400 na kufariki miaka ya 1500. Alihama kutoka Italia akiwa na miaka kama 15 ivi na kwenda kuishi Ufaransa ambapo aliishi kwa tajiri mmoja maarufu wa wakati huo. Alifariki akiwa na miaka kama 54 ivi ufaransa. Nmesahau vitu vingi sana kuhusu uyu jamaa. Pia kuna picha aliwai kujichora [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Mkuu naomba kujua kama Maria mama wa Yesu pamoja na mume wake Yusufu walipata watoto/mtoto baada ya kumzaa Yesu. Na kama walimpata, huo ukoo unajulikana kwa sasa ni akina nani? Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…