davismwaisemba
Member
- Mar 8, 2021
- 6
- 12
Ndio. Ila nataka kuweka usafiri mbalimbali kama boda, toyo kirikuu, na canter kwaajili ya mizigo mikubwa zaidi. Pia kuwe na uwezakano wa kurequest kusafirishiwa kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingineTuseme kama Uber/bolt ya mizigo
Kutengeneza app ni kazi ngumu sana, utaenjoy mwanzoni unapoanza carrier lakini kadri siku zinavyozidi kwenda na kutengeneza project kubwa akili inachoka sana kwasababu kazi ya kutengeneza software ni kazi usiofanya kwa uzeofu kwasababu kila project ina namna yake ya kuitengeneza na pia inabidi ulewe biashara husika ya mteja wako.Wazo zuri, endelea kutia nia… bali nyie watu wa IT mnaboanga kwa kweli!
Kuna mwaka nlikuwa kwenye group la IT huko fb nlikiwa na wazo la kuundiwa app ya board game (drafi) kwa ajili ya wacheza bao woote nchini na hyo nliwaza kama angepatikana muundaji tungeunda app tofauti na zilizopo online na offline ila nlichokutana nacho ni ubabaishaji wa BEI tu.
Hilo group la IT huko fb saiv limejaa wakodishaji muvi (wamiliki library)
na wahariri picha.