Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara?

Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara?

nyumba biashara hoteli,maduka,nyumba ya kulala wageni,n,k inafaa zaidi.
 
Weka ushahidi????
Kwanza mmeona wapi nyumba haijengwi kando ya barabara??
 
Kama huna jibu la hayo unayouliza, nakushauri ule ushibe kwanza.

Kama una kompyuta tafuta, zaidi ya hapo hii ni mada hadaa, inanuka uhasama hasi kwa Jamii ya Watanzania.


Aluta Continua.
 
Jibu hoja tu mwerevu. Tutafika huko kwenye jibu unalolitafuta.
We can agree to disagree. Its how democracy works.
 
Mkuu unaonekana wewe ni mwerevu, unataka kuniambia huwezi pata jibu lako sehemu nyingine mtandaoni zaidi ya hapa JamiiForums?

Nini hasa ni lengo lako la kuleta mada hii?

Tunaweza tofautiana na kukubaliana. Au unasemaje Jasiri?
 
...hata barabara ya miguu, kando yake zinajengwa.

Umeona wapi nyumba haijengwi kando yake/zake?

Ushahidi wa picha halisi utasaidia, hii picha nayojenga ya "

kujenga nyumba kando mwa barabara???​

haiingii akilini
Kwa hiyo hata faida yake kwa maoni yangu, ni batili.
 
Back
Top Bottom