Ni kero sana kukaa karibu na ingawa Inategemea ni bara bara gani?hapa kuna nyumba nimepanga chumba ipo road yani nikifungua pazia nipo pembeni ya barabara yani kupata usingizi ni kazi sana usumbufu kelele za magari muda wote naskilizia kodi iishe nisepe.