merengo90 kuna tofauti kubwa kati ya mitishamba/ dawa za asili na kuroga na uganga wa kienyeji
Sisi kwa mfano tumekuzwa na dawa za mitishamba/ kienyeji kwa magonjwa ya kawaida na hata yale makubwa kwa kiasi fulani mfano kuumwa kichwa tumbo nk kujikata kuhara na magonjwa mengine tulikuwa runajua majani/ mizizi gani inatumika kwenye kutibu nini
Uganga wa kienyeji unahusisha imani za kishirikina kupiga ramli, kutoa zongo na mambo yafananayo na hayo japo mwishoni hutumia mizizi na majani yaleyale kwenye tiba zao
Nmekuelewa fika, lakini pia mganga wa kienyeji kuna muda anakupa miti may be ukanywe n.k si ndio ? Je hiyo miti piaa ipo kiiman au ?
Unataka ayat? Hizi hapa. Unawaona waislamu hao wanafanya uchawi?Mtaalam Eiyer na Mkuu wa chuo, hivi kwanini Waislam wanapenda hizi mada za UCHAWI NA WACHAWI NA UGANGA WA KIENYEJI?
CC: Nonda, naomba aya ambayo Allah anaponya magonjwa na katoa ruhusa nyie mponye magonjwa kwa jina lake au la Muhammad.
Mtaalam Eiyer na Mkuu wa chuo, hivi kwanini Waislam wanapenda hizi mada za UCHAWI NA WACHAWI NA UGANGA WA KIENYEJI?

Teh teh teh!
Mnadanganya watu kila siku makanisani eti mnaponya kwa Jina la yesu.
Halafu mlivyokuwa na akili nzito mpaka kitabu chenu kimeandika Utumbo mtupu kuhusu suala la Uponyaji.
Eti mungu wa kikristo anakasirika Mtu akipelekwa HOSPITALI.
Teh teh teh teh.
Soma mwenyewe hapa huu utumbo.
Bible says the following:-
First of all, if you get sick, its your own damn fault.
If thou wilt diligently hearken to the voice of the LORD thy God, and wilt do that which is right in his sight, and wilt give ear to his commandments, and keep all his statutes, I will put none of these diseases upon thee. ---Exodus 15:26
When you are sick, rely on faith-based medicine. Prayer and faith alone will cure you just like what MaxShimba explains!
Is any sick among you? let him call for the elders of the church; and let them pray over him, anointing him with oil in the name of the Lord: And the prayer of faith shall save the sick, and the Lord shall raise him up. --James 5:14-15
For as it says in the Psalms,
The Lord ... healeth all thy diseases. ---Psalm 103:2-3
And as Jesus said to the woman who touched his garment,
Thy faith hath made thee whole. ---Matthew 9:22,-Mark 5:34,-Luke 8:48
Or just touch your religious leader's handkerchief or something.
So that from his body were brought unto the sick handkerchiefs or aprons, and the diseases departed from them, and the evil spirits went out of them. ---Acts 19:12
But whatever you do, don't go to a doctor. God is insulted if you trust science more than faith.
And Asa in the thirty and ninth year of his reign was diseased in his feet, until his disease was exceeding great: yet in his disease he sought not to the LORD, but to the physicians. --2 Chronicles 16:12
You guys are totally INSANE!
Huwa nawatafakari sana hawa wenzetu lakin huwa cpat jibu sahihi kuwa wanaakili au
Ili iweje?
Kiongozi, unakata Nyasi kwa Buldoza,Labda ni kama mtu na shangazi yake ....
Hahahahaaaaa!
Kiongozi, unakata Nyasi kwa Buldoza,
Naona jamaa yao anatapika povu kama vile amlamba Omo, Msiba huu. Anyways, ndugu yangu salama huko?
Kiongozi, unakata Nyasi kwa Buldoza,
Naona jamaa yao anatapika povu kama vile amlamba Omo, Msiba huu. Anyways, ndugu yangu salama huko?