Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Nawapenda sana aina nyie ila tatizo mapenzi yalishanikifu mkuu....we huoni ninavyochezea vichwa vya watu humu....naburudika kufanya Ivo Lakini moto wa kuwa na Mpenz sina....hata Ivo mwisho wa siku tunazikwa.Nayachukia mapenzi kiukweli
[emoji22][emoji22]
Pole kwa yaliyokukuta
 
Kwenye kile kipindi cha Matukio cha Redio Free asilimia kubwa ya matukio yalikua yanatoka mbeya. Mara mtu kachunwa ngozi mara mtu kunyonywa damu[emoji28]
Hao wanao fanya hivyo ni wasafwa sio wanyakyusa
 
Mimi nilisikia mademu wengi wanasema wanaume wa kinyakyusa wanaongoza kwa uhendisamu, yaani wazuri haya nimeona watoto wa kike wengi wanasema baada ya mastaa wengi kusifika kwa uhendisam wanatokea unyakyusani
 
Ni wabinafsi mno, wanajiiona wao ndio wao kumbe vichwa maboga, wanavipaji, wanapenda kuamuliwa na familia sio wao wenyewe.....mwisho ni washamba hapo sio sana, ngoja nmalizie awaambiliki

Acha uongo huoni aibu?
 
Ngukukoma ugwe [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…