Naomba kufahamu tabia za wanyakyusa

Kama ulivaa mashati ya kung’aa na suruali pana za vitambaa ukachomekea labda ndio sababu unaitwa mnyakyusa
Usafi na kujipenda hasa kutupia vitu vizuri ndio jadi yetu. Huwezi kuta tunapiga code za hovyo. Wapo babu zetu ni very smart mnooo. Nguo zinapigwa pasi hadi uzeeni
 
Daaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji871][emoji871]

Mimi sio mweusi mbona [emoji2369][emoji2369]
 
Daaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji871][emoji871]

Mimi sio mweusi mbona [emoji2369][emoji2369]
Yeah,weupe wapo ila wachache sana
 
😅😅Pole yao. Mimi ni mweusi wa kuzaliwa. Vipi hawajaanza ulokole na kuvaa viatu vya mashangazi
Haha!hapana mkuu..nahc tu mazingira ndo yamewafanya wawe cheuz mangala....mfno kuish kyela pale boda kwa lile joto hata kama ulikuwa ray kigosi lazma uwe kama bambo
🤣🤣🤣Jirani yangu Smart911 umeiona hii🤣🙌
Kwan nae ni mwaisa?
 
Haha!hapana mkuu..nahc tu mazingira ndo yamewafanya wawe cheuz mangala....mfno kuish kyela pale boda kwa lile joto hata kama ulikuwa ray kigosi lazma uwe kama bambo
Kwan nae ni mwaisa?
No yeye ni mkurya...ila Mimi ndo mnyakyusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…