The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
1. Alarm system...kuna kifaa chenye nguvu kubwa zaidi ya alarm uliyofunga hicho kikisetiwa alarm yako inakuwa boko watu wanafanya yaoHabari wakuu.
Kuna kitu hua nashindwa kukielewa hasa wizi wa magari.
Je wizi wa gari unafanyikaje kama gari imefungwa.
Je unakutamwizi ana funguo ya ziada ama nini kinafanyika.
Je kwa gari ambazo ni keyless za push to start pia zinaibiwaje maana nyingine kama hujaingia na ufunguo haiondoki.
Naomba kufahamishwa wizi unafanyikaje.
Ahsante.
😂😂😂Hapana mkuu. Siendeshi IST na wala sijawahi kumiliki IST.Ndugu Hakimu Mfawidhi kila nikijaribu kutafakari swali lako akili inaniambia kama uliibiwa IST sasa kwa maumivu uyapatayo unataka ku revenge kwa kung'oa V8 ya mheshimiwa mmoja hapo mtaa wa tatu.
Samahani lakini ni mawazo tu
Wanaingiaje mkuu.Kuingia ndani ya gari lililofungwa huwa ni rahisi sana haichukui sekunde kumi...sasa mtu akishaingia ndani ya gari kitakachofuata ni kukata waya wa funguo then wanaonganisha nyaya chuma kinasepa
Sio zote kuna aina na ainaNdinga zinaibwa sana huko daslaaam
Zinazoibiwa sana ni zipi mkuuSio zote kuna aina na aina
Kama ilivyo waache wafu wawazike wafu wenzao ndivyo vivyo hivyo waache wenye fani wafanye kwa ufanisi wa fani zao.😂😂😂Hapana mkuu. Siendeshi IST na wala sijawahi kumiliki IST.
Nimetaka tu kujua inakuaje mtu hana funguo halafu anaiba gari.
IST kwasasa ndio ziko kwenye soko Na nyingine zote zinazouzika fastaZinazoibiwa sana ni zipi mkuu
Kuingia ndani ya gari lililofungwa huwa ni rahisi sana haichukui sekunde kumi...sasa mtu akishaingia ndani ya gari kitakachofuata ni kukata waya wa funguo then wanaonganisha nyaya chuma kinasepa
Okay.IST kwasasa ndio ziko kwenye soko Na nyingine zote zinazouzika fasta
[emoji3064][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Okay.
Gari za milioni 6, milioni 7 hadi 9.
Kumbe nisiwe na wasiwasi na gari yangu ya 40m.