Naomba kufahamu wizi wa magari unafanyikaje

Kuna dada mmoja alikua anadrive harrier..bas akawa anampelekea kaka mmoja aioshe...anamwachia anarudi zake kazini...huyu dogo alikua form 6 leaver hana mishe....
Anahvyodai walitokea wakaka wakamwambia huu ndo utajiri wako... wakamfundisha ulaghai...naskia kichonga key ni dk 1...so wakachonga key wakamchorea ramani fresh...mwaka.jana dada wa watu kaibiwa gari akiwa kazini...
Naskia ni risk mno kumwachia gari na keys muosha magari..wanachonga keys unakuja ibiwa siku isiyo na jina....dogo yuko ndani mpka leo
Ukioshewa gari ukae hapo hapo...fundi wa gari asijue unapoishi au kazini kwako
 
Kuna dada mmoja alikua anadrive harrier..bas akawa anampelekea kaka mmoja aioshe...anamwachia anarudi zake kazini...huyu dogo alikua form 6 leaver hana mishe....
Anahvyodai walitokea wakaka wakamwambia huu ndo utajiri wako... wakamfundisha ulaghai...naskia kichonga key ni dk 1...so wakachonga key wakamchorea ramani fresh...mwaka.jana dada wa watu kaibiwa gari akiwa kazini...
Naskia ni risk mno kumwachia gari na keys muosha magari..wanachonga keys unakuja ibiwa siku isiyo na jina....dogo yuko ndani mpka leo
Ni kuwa makin tu gar zinachongewa ufunguo zilizo potea hata bila funguo yake kuwepo
 
Kuna dada mmoja alikua anadrive harrier..bas akawa anampelekea kaka mmoja aioshe...anamwachia anarudi zake kazini...huyu dogo alikua form 6 leaver hana mishe....
Anahvyodai walitokea wakaka wakamwambia huu ndo utajiri wako... wakamfundisha ulaghai...naskia kichonga key ni dk 1...so wakachonga key wakamchorea ramani fresh...mwaka.jana dada wa watu kaibiwa gari akiwa kazini...
Naskia ni risk mno kumwachia gari na keys muosha magari..wanachonga keys unakuja ibiwa siku isiyo na jina....dogo yuko ndani mpka leo
Halafu anaitumia wapi hiyo gari?
 
Habari wakuu.

Kuna kitu hua nashindwa kukielewa hasa wizi wa magari.

Je wizi wa gari unafanyikaje kama gari imefungwa.

Je unakutamwizi ana funguo ya ziada ama nini kinafanyika.

Je kwa gari ambazo ni keyless za push to start pia zinaibiwaje maana nyingine kama hujaingia na ufunguo haiondoki.

Naomba kufahamishwa wizi unafanyikaje.

Ahsante.
Njoo PM nikuelekeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu.

Kuna kitu hua nashindwa kukielewa hasa wizi wa magari.

Je wizi wa gari unafanyikaje kama gari imefungwa.

Je unakutamwizi ana funguo ya ziada ama nini kinafanyika.

Je kwa gari ambazo ni keyless za push to start pia zinaibiwaje maana nyingine kama hujaingia na ufunguo haiondoki.

Naomba kufahamishwa wizi unafanyikaje.

Ahsante.
kwa hiyo unataka upate mbinu za kuiba sio?
 
1. Alarm system...kuna kifaa chenye nguvu kubwa zaidi ya alarm uliyofunga hicho kikisetiwa alarm yako inakuwa boko watu wanafanya yao
2. Kwenye carwash na garage za uchochoroni, ukiacha funguo vijana wasio waaminifu wanaikandamiza kwenye kipande cha sabuni au wanaichora kwenye karatasi wanawapa wezi wakachonge nyingine, kifuatacho hapo ni kilio
3.Keyless/push start wanakuwa na kijimtambo kidogo cha kuhack hiyo system na kui command watakavyo, baada ya hapo wanaamua tu sasa wafanye nini kwenye hiyo gari
4. Japo kwa uchache sana, unavamiwa na kuporwa gari live

The jr
 
najua ajira ni ngumu ila staili unayotaka kujiajiri nayo hakikisha haikuletei madhara!

people in Kagera region, believe in a saying, now I quote "atabile tatunga" unofficial translation don't you steal no wealth. Last quote. To steal in a sense which can't lead you to troubles.
 
Habari wakuu.

Kuna kitu hua nashindwa kukielewa hasa wizi wa magari.

Je wizi wa gari unafanyikaje kama gari imefungwa.

Je unakutamwizi ana funguo ya ziada ama nini kinafanyika.

Je kwa gari ambazo ni keyless za push to start pia zinaibiwaje maana nyingine kama hujaingia na ufunguo haiondoki.

Naomba kufahamishwa wizi unafanyikaje.

Ahsante.

Tatizo ni elimu tuliyosoma, vyuo havifundishi jinsi watu wanavyoiba hili kukabiliana nao.
 
Back
Top Bottom