Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha msing kama mdau alivosema kufunga motion sensor ambazo pia n bei rahisi sna ukienda africable wanauza 30,000+ kingora nlinunua kariko 40,000 na taa moja 17,000 umemaliza kazi ukiongeza na car track kidogo ulizi utakuwepo
Ipo kurasini mivinjeni 0713357545
Mkuu taa ni ile kama iki sensi movement inawaka??Mafundi umeme wa magari wanaweza washa gari bila funguo wezi wakifanikiwa kufungua mlango wa gari hasa wa dereva.
Kwa alam za magari wanatumia kitambaa kushika bonet kufungua na kuchomoa betri alarm apo haiwezi fanya kazi tena.
Cha msing kama mdau alivosema kufunga motion sensor ambazo pia n bei rahisi sna ukienda africable wanauza 30,000+ kingora nlinunua kariko 40,000 na taa moja 17,000 umemaliza kazi ukiongeza na car track kidogo ulizi utakuwepo
Kwa hiyo bajeti hapo ni kama 100,000 kufunga vyote hivyo mkuu?Mafundi umeme wa magari wanaweza washa gari bila funguo wezi wakifanikiwa kufungua mlango wa gari hasa wa dereva.