Naomba kufahamu wizi wa magari unafanyikaje

Kwenye nyumba broo sehem unayopaki gari ikiwezekana weka pembe zote 4
 
Coz wanaweza kuja wakakupigq dawa then wakaiba ila ukifunga sehem zote za nyumba yako itakuwa rahisi ww kujua kama kuna mtu ameingia ndani na hii sensor inaanza kufanya kazi meter 30 na inapiga kelele vibaya sna lazma uwamke
 
Cha msing kama mdau alivosema kufunga motion sensor ambazo pia n bei rahisi sna ukienda africable wanauza 30,000+ kingora nlinunua kariko 40,000 na taa moja 17,000 umemaliza kazi ukiongeza na car track kidogo ulizi utakuwepo

Africable ipo wapi na contacts zao tafadhali
 
Mwizi akitaka kuiba anaiba tuu.
Nakumbuka waliwahi ingia hadi chumbani wakachukua ela wakasepa. Hawajavunja mlango wana kusumbua mtu.
Wengine wanalazwa chini jamaa anapekua hadi uvungu kwa kitanda...
Acha hawa watu wana mbinu zingi
 
Mkuu taa ni ile kama iki sensi movement inawaka??
 
Kwa hiyo bajeti hapo ni kama 100,000 kufunga vyote hivyo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…