Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

Watu wameomba miaka na miaka Mungu yupo kimya, Wameshtukia mchongo... Yani hii dunia ukimtegemea wa kuitwa Mungu Bila kutumia akili utakufa maskini kabisa... Mungu gani ameshindwa kusaidia wale OMBAOMBA pale Kimara, Watoto huko Gaza etc.. Nahisi Mungu anayeabudiwa si sahihi
Kabisa ety mungu yeye anakaaa Israel 🇮🇱 tuu si uhanithi huu
 
Hahaha ujinga wa dini unawares wengi sana
 
Mimi ni MLOKOLE katika kanisa letu Kuna ministry hizi Ni familia za kiroho.......
Kwa kweli tume shikamana na sanaa tunaambatana mpaka Raha

NB: waswahili husema ""ukitaka kujua umuhimu wa matako Basi kalia kichwa""
 
Leo tutakua na sadaka nne 01. Sadaka ya kawaida 02. Sadaka ya shukrani 03 usafiri wa mchungaji 04 ukarabati wa jengo. Kwaya zituongoze tukianza na kwaya kuu, wanafunzi na badae Sunday school
Chonde chonde usiache kusali ... Binafsi Nina ushahidi na haya mambo ya kiroho...Iko hivyo...Alikuwepo baba yetu mkubwa katika kipindi cha uhai wake alibahatika kupata mtoto ambaye huyo mtoto alizaliwa kwa kutanguliza miguu Kitu ambacho kwetu wanyamwezi na WASUKUMA ni mkosi ..hivyo huyo mtoto alitakiwa kupelekwa kanisani kwa ajili ya kuombewa au kufanyiwa tambiko la kimila...sasa hiyo mzee achagua kufanyiwa tambiko la kimila Afu akatulia...baada miaka kadhaa yule baba akaugua baada miaka kadhaa akafariki...baada ya hapo Ndgu tukajichanga pesa ya kusafirisha maiti Hadi Kutoka Moshi mpaka Tabora.. kitu ambacho wazee walikosea ni kumzika bila kufanya tambiko Wala kiongozi wa kidini isipokuwa baba yetu mdogo aliongoza sala TU baadae watu wakazika...baada muda kidogo kipindi cha masika radi ikawa inapiga kwenye kaburi lake mara kwa mara...baada ya kuulizia mke wake akawambia kuwa walibahatika kupata mtoto kashinje na hawakwenda kanisani Wala kufanya tambiko la kimila...ambapo baba mama na mtoto walitakiwa kufanyiwa au kwenda kanisani...baada ya hapo tulimtafuta padri akaja pale nyumbani wakachimba kidogo na kufanya Ibada ya mazishi upya...tangia hapo ...radi haijawahi kupiga kaburini...
Bwana yesu asifiwe...
 
Radi inahusiana vp na yesu Acha porojoo
 
Mueleweshe mke wako asikuhusishe na mambo ya jumuiya. Yeye afanye kivyake.
Kanisani usiende..siku wanasali kwako jumuiya amka alfajiri utokomee kusikojulikana baadae urudi. Simple tu
Daah umemaliza kibingwa sana mkuu 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…