Naomba kuhoji kuhusu elimu ya Zanzibar

Naomba kuhoji kuhusu elimu ya Zanzibar

Samahani, wewe hapo ulipo unajiona una akili baada ya kutoa hii kauli??? Au kutoa dhihaka plus kejeli ndiyo akili?? DR HAYA LAND ,Mnyambo wa kyerwa naona mnawakilisha majivuno plus ushamba na ulimbukeni kutoka Kagera!
Hii tabia ya Watanzania kuchukia watu wa Kagera kutoka na kuwa na akili kwetu itawafikisha wapi
Karibu mkoani akili upate maarifa
 
sio zanzibar ni ccm, wanatafuta illiterate person, mind blank, foggy, confused, disoriented, unfocused, thickheaded, slow, or obtuse kutoka Zanzabar ili wakapige kelele tu
 
Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu

Hawa wengine naona hamna kitu

Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu

Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa wabunge hao kutoka Zanzibar kuongea pumba kama hizo
Wale ni jamii ya watu wenye uwezo mdogo kiakili na kifikra, wako vizuri kwenye elimu ya imani.
 
Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu

Hawa wengine naona hamna kitu

Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu

Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa wabunge hao kutoka Zanzibar kuongea pumba kama hizo
Hao unaowaita wasomi ndiyo wezi na majambazi wakubwa wa nchi hii!...uadilifu ni bidhaa adimu kwa mwafrika
 
Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu

Hawa wengine naona hamna kitu

Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu

Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa wabunge hao kutoka Zanzibar kuongea pumba kama hizo
Mh anaongea kama wapo huko kwao wakivuna zao la mwanii
 
Back
Top Bottom