Naomba kuhoji kuhusu elimu ya Zanzibar

Naomba kuhoji kuhusu elimu ya Zanzibar

Wabunge wa Zanzibar na kasheku matako yenu.mmetudhalilisha sana watanzania tunaojitambua.Bunge zima limeonekana hamnazo mbele ya mataifa ya nje
 
Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu

Hawa wengine naona hamna kitu

Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu

Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa wabunge hao kutoka Zanzibar kuongea pumba kama hizo
Bashungwa ni Mzanzibar??
Mbona nae kasema atawashughulikia??
Tarimba je???
Jerry Muro??
Makonda??
 
Eti mwanamke wa zenji umpe nchi kuongoza! Hakika watanzania tumelogwa!
Wamlimroga Magufuli huyo, Yani Kosa kubwa sana alilifanya Magufuli kwa Watanzania na litaingarimu nchi miaka1000
 
Shida ni CCM na sio wazanzibari. Mimi nimekutana na wazenji makini sana kichwani wako vizuri tu. Ila hawa mnaowaona ni vilaza wa CCM hawana kitu kichwani ndo wanaopendwa na chama.
 
Back
Top Bottom