Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye exprience nipeni mwongozo boti ninayo tayari na mota pamoja na net nipeni profit and loss za hii biashara
Eneo la uvuvi ni Mtwara
Mbona tunatishana jomba?Maboti ni kama daladala. Unampa mtu anakuletea hesabu. Ukiamua kwenda nenda kama mtalii, ukienda kama mmiliki hurudi
nilienda nilishapewa detail zote natak ku compare na mawazo ya wadau km yataendanaMkuu si uende pwani ukakutane na wadau kama vile unakunywa kahawa huku unadadisi ili upate details kamili mkuu...?
Kwa nilivyoskia ni kuwa unaweza ukakaa ufukweni tu na boti watu wakafanyia kazi ikawa inaleta hela tu, au ukaamua na wewe kuingia baharini pia kwenda kuvua.
Yaani unaweza ukakodisha chombo au ukatafuta vijana wa kuvua then ukawalipa kwa kazi waliyoifanya, ni makubaliano tu nenda pwani utajua yote mkuu.
Umenunua Bei ganiWenye exprience nipeni mwongozo boti ninayo tayari na mota pamoja na net nipeni profit and loss za hii biashara
Eneo la uvuvi ni Mtwara
Mbona kuvutana pm..mwaga info ziwe na faida kwa wana jukwaaa..mana wengi wanahitaji info waingie mzigoni.Mtoa maada tuchekiane PM tunaweza kufanya jambo
Naunga mkono hoja naiwazaga hii biashara.Umenunua Bei gani
Nikiwa likizo ntafanya utafiti huko kunduchiNi biashara nzuri,upepo ukiwa vizuri unaweza kupata Milion 2 kwa siku,tafuta nahodha anaeeleweka,pia biashara hii inategemea sana hali ya hewa,na mwezi
Maboti ni kama daladala. Unampa mtu anakuletea hesabu. Ukiamua kwenda nenda kama mtalii, ukienda kama mmiliki hurudi
GeofK ameuliza bei ya boti mbona hujajibu.tupeane mrejeshoo
Kwa uvuvi wa baharini sijui ila waziwani yeyote kivyovyote katika muda wowote ilimladi azijue kazi. Wanaaminika niwastaatabu na wala hakuna unyama wowote kwa mtu yeyoteKuna jamaa ana boti ni mshikaji wangu, nilimuuliza akanijibu.
1. Hanishauri Kufanya hiyo biashara
2. Wavuvi pasua kichwa
3. Kama ikitokea nimenunua boti nisijariibu kwenda na wavuvi kuvua. Kuna uwezekano wa kutorudi nchi lach.