Naomba kuifahamu biashara ya uvuvi wa samaki baharini

Boti Yako Ina ukubwa wa upi?

1. Boti imesajiliwa
2. Inabidi ukaombe kibali Cha uvuvi (ofisi za uvuvi) watakagua na nyavu kulingana na samaki/Dagaa utaokuwa unavua
 
Gharama za Kila siku ni Mafuta, chambo, kurekebisha nyavu,kuwalipa wafanyakazi (nahodha na wasaidizi)
 
Kama utakodisha kitu kimoja kimoja,mapato Kwa siku yatakuwa 45,000/=

1.Kukodisha Boti yenyewe bila injini watakupa 15,000/=

2.Nyavu Kwa siku kukodisha 15,000/=

3. Engine Kwa Dar na Tanga kukodi ni Elfu 15,000/=

Hayo ni makadirio endapo utawakodishia kitu kimoja au vyote wakafanye Kazi jioni Asubuhi warejee.
 
Malipo yao nahodha na wafanyakazi wengine ni kiasi gani?
 
Kwa uvuvi wa baharini sijui ila waziwani yeyote kivyovyote katika muda wowote ilimladi azijue kazi. Wanaaminika niwastaatabu na wala hakuna unyama wowote kwa mtu yeyote
Mkuu engine zinauzwa shilingi ngapi
 
Kwa uvuvi wa baharini sijui ila waziwani yeyote kivyovyote katika muda wowote ilimladi azijue kazi. Wanaaminika niwastaatabu na wala hakuna unyama wowote kwa mtu yeyote
Mkuu @lgombe fisherman angalia Pm Kuna kitu nimekuuliza huko
 
Achana na uvuvi wa baharini. Njoo uchape kazi huku ziwa Victoria, huku kuna pesa za Burr bure
 
Back
Top Bottom