Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Malipo yao nahodha na wafanyakazi wengine ni kiasi gani?Kama utakodisha kitu kimoja kimoja,mapato Kwa siku yatakuwa 45,000/=
1.Kukodisha Boti yenyewe bila injini watakupa 15,000/=
2.Nyavu Kwa siku kukodisha 15,000/=
3. Engine Kwa Dar na Tanga kukodi ni Elfu 15,000/=
Hayo ni makadirio endapo utawakodishia kitu kimoja au vyote wakafanye Kazi jioni Asubuhi warejee.
Inategemea ukubwa wa chombo na uvuvi wa samaki unaofanya, wengi wanalipwa Kwa siku ambazo chombo kimefanya kaziMalipo yao nahodha na wafanyakazi wengine ni kiasi gani?
Mkuu engine zinauzwa shilingi ngapiKwa uvuvi wa baharini sijui ila waziwani yeyote kivyovyote katika muda wowote ilimladi azijue kazi. Wanaaminika niwastaatabu na wala hakuna unyama wowote kwa mtu yeyote
Mkuu engine zinauzwa shilingi ngapi kwa Tanga na DarInategemea ukubwa wa chombo na uvuvi wa samaki unaofanya, wengi wanalipwa Kwa siku ambazo chombo kimefanya kazi
Engine za Outboard?Mkuu engine zinauzwa shilingi ngapi kwa Tanga na Dar
Kama utahitaji Yamaha 15HP used kutoka South Africa andaa 4millionMkuu engine zinauzwa shilingi ngapi kwa Tanga na Dar
Asante kwa taarifa mkuuKama utahitaji Yamaha 15HP used kutoka South Africa andaa 4million
Mkuu @lgombe fisherman angalia Pm Kuna kitu nimekuuliza hukoKwa uvuvi wa baharini sijui ila waziwani yeyote kivyovyote katika muda wowote ilimladi azijue kazi. Wanaaminika niwastaatabu na wala hakuna unyama wowote kwa mtu yeyote
Kuna used za hapa nchini unapata kuanzia 2.5m. Pia Kuna brand za kichina kama Power Tech ukiwa na kuanzia 2.5 unapataAsante kwa taarifa mkuu
Ziwa victoria tunatumia horse power 15 tu katika uvuvi. Hata ikipanda sana haizidi milion 5.5Mkuu engine zinauzwa shilingi ngapi
Wa ziwa Victoria wengi ni wasukuma waoga na washambaKwa uvuvi wa baharini sijui ila waziwani yeyote kivyovyote katika muda wowote ilimladi azijue kazi. Wanaaminika niwastaatabu na wala hakuna unyama wowote kwa mtu yeyote