Naomba kuifahamu Dawa ya mapunye kwa mtoto

Naomba kuifahamu Dawa ya mapunye kwa mtoto

Mom sheena

New Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
2
Reaction score
1
Habari zenu jamani naombeni mnisaidie dawa ya mapunye, mtoto wangu katokewa na punye mkononi. Ana miaka 4 na miezi 7
 
Nenda duka la madawa waambie tatizo watakupa dawa nzuri bei haizidi 5000 maana kuna tofauti kati ya ngozi na ngozi
 
Back
Top Bottom