Naomba kujibiwa haya maswali kuhusu Maiti

Namba tatu ndo inashngaza naona Bora hata kama hauna pesa uwe na roho ya kusaidia watu utagain heshima kubwa na mioyo ya watu na kuacha alama.
Ukikumbukwa itakusaidia nini?
 
Kwa upande wangu sikukuu ya Mwanadamu iko moja tu.

Kuzaliwa.
wakati wa kuzaliwa mimi nakuwa sina habari kabisa.
Hii ni skukuu ya familia iliyonizaa na sio mimi.

Harusi
Sasa hivi watu wa dini na wenye vipato vya kula mala tatu kwa siku ndio wanaofanya sherehe za harusi.

Pia kuna harusi nyingine za kulazimishana kama Ndoa za Mkeka, na Ndoa za Utotoni, kama kale katoto kalikolazimishwa na wazazi wake ka kule mbali [emoji28][emoji28][emoji28]

Pia sisi tunaanza kujitegemea toka utoto huwa tunavuta mwanamke aliye tayari kuishi basi.
Hakuna cha harusi wala sherehe.

Kifo
Hii ni sherehe ya wapendwa wanaokupenda mimi sitakuwa na habari nayo.
Tena wengi wakati huo wataogopa hata kuusogelea mwili wangu
Wengine watafurahia ili warithi jasho langu tu. Mali.

Hitimisho
Sherehe ya Mwanadamu iko moja tu hapa Ulimwenguni.
Kwenye Kilaji.

Wakati wa kunywa bia iwe Bar au Kasino.
Washiriki wote wanakuwa na tabasamu tele mashavuni pamoja na mimi Steringi.
Nyimbo zinaimbwa, zinachezwa, kicheko kila kona.
Watu wanaongea Kifaransa, Kilingala, Kihadzabe bila hata kujifunza.
Yaani wananena kwa Lugha zote.

Nawasilisha [emoji848][emoji871]
 
Pia kuna harusi nyingine za kulazimishana kama Ndoa za Mkeka, na Ndoa za Utotoni, kama kale katoto kalikolazimishwa na wazazi wake ka kule mbali [emoji28][emoji28][emoji28]
 
🤣🤣🤣
😊😊
 
Atleast umetoa majibu yenye logic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…