MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Habari wakuu?
Nategemea kuenda kuanzisha maisha Korogwe mjini Tanga, naomba webye ujuzi na wilaya hii wanisaidie baadhi ya taarifa zifuatazo.
1. Hali ya hewa
2. Mazao yanayolimwa sana.
3. Hali ya kibiashara na uchumi hapo mjini?
4. Upatikanaji wa vyumba vya kupanga na mashamba.
Lakini vipi pia kibiashara kati ya Tanga mjini na Korogwe wapi pana nafuu kiutafutaji kwa capital ya 4million?
Natanguliza shukrani.