MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Kwenye usinga ni balaa,Mke wa msambaa achana nae. Msambaa muibie pesa, Hilo linazungumzika huku kwa mke Kama sio usinga Basi wataondoka na marinda.
Kuna Aina mbili za uchawi ambazo ziko Tanga tu.Kwenye usinga ni balaa,
Niliwahi kulishuhudia hilo jambo kipindi nipo Tanga aisee ..ni hatari!!
Dah kwa jinsi nilivyoipata haitokuw rahisi kupotea kwa style hiyo.Kuna madem watamu sana, hasa ukipata weusi waliojaa kidogo. Usipokuwa makini utamaliza kamtaji kako
Shukran sana mkuu ngoja nijiandae.mkuu hapo korogwe kwa sasa matajiri wameamia hapo kuchimbua ardhi hekari kwa mahekari kupanda mkonge,mkonge unataka kuzika hela so kwa mtaji wako huo pale patakufaa kwa biashara za kuchuuza maana korogwe inalisha vijiji vingi sana vya korogwe vijijini.
watoto wakali wa kisambaa weupee pee hata anko Magu alikiri pale hale kuwa wanamchanganya watakuwa karibu karibu kuzengea kamilion 4 kako.
Mlima AmbanguluHabari wakuu?
Nategemea kuenda kuanzisha maisha Korogwe mjini Tanga, naomba webye ujuzi na wilaya hii wanisaidie baadhi ya taarifa zifuatazo.
1. Hali ya hewa
2. Mazao yanayolimwa sana.
3. Hali ya kibiashara na uchumi hapo mjini?
4. Upatikanaji wa vyumba vya kupanga na mashamba.
Lakini vipi pia kibiashara kati ya Tanga mjini na Korogwe wapi pana nafuu kiutafutaji kwa capital ya 4million?
Natanguliza shukrani.
Usinga ni ninKuna Aina mbili za uchawi ambazo ziko Tanga tu.
Usinga na zongo.
Sijawahi kusikia hizi Mambo nje ya mkoa wa TANGA.
Kaa mbali na mke wa msambaa. Akikutegea hiyo kitu, hata Kama uko Bukoba utakwenda tu kumkula huyo mama. Na ukichomoa tu andika wosia maana jua la kesho hutaliona.Usinga ni nin
Karibu korogwe mjini mkuu.Habari wakuu?
Nategemea kuenda kuanzisha maisha Korogwe mjini Tanga, naomba webye ujuzi na wilaya hii wanisaidie baadhi ya taarifa zifuatazo.
1. Hali ya hewa
2. Mazao yanayolimwa sana.
3. Hali ya kibiashara na uchumi hapo mjini?
4. Upatikanaji wa vyumba vya kupanga na mashamba.
Lakini vipi pia kibiashara kati ya Tanga mjini na Korogwe wapi pana nafuu kiutafutaji kwa capital ya 4million?
Natanguliza shukrani.
Mke wa msambaa achana nae. Msambaa muibie pesa, Hilo linazungumzika huku kwa mke Kama sio usinga Basi
SUala la mke ku cheat usiombe likukute. Acha kuwasema wenzioMke wa msambaa achana nae. Msambaa muibie pesa, Hilo linazungumzika huku kwa mke Kama sio usinga Basi wataondoka na marinda.