Mkanaani
Senior Member
- Jul 31, 2021
- 197
- 582
Habari zenu wakuu, naombeni msaada, nataka kuuza hizi hereni na pete ni vya gold ila sijui chochote kuhusiana na bei naogopa nisije pata mteja nikataja bei kubwa nikachekwa au nikataja ndogo nikajinyonya.
Msaada kwa wataalam wa mambo ya grams za gold na bei zake wanisaidie bei kwa gm. Mf. Ikiwa gm 1,2,3 au 4 ni sh. ngapi ili hata nikienda kuuza vikipimwa niwe na idea ya bei walau.
Msaada kwa wataalam wa mambo ya grams za gold na bei zake wanisaidie bei kwa gm. Mf. Ikiwa gm 1,2,3 au 4 ni sh. ngapi ili hata nikienda kuuza vikipimwa niwe na idea ya bei walau.