Kama upo Dar nenda mtaa wa Indira Gandhi kwenye maduka ya sonara yapo kibao tu, Ingia Kwa mdosi muwekee mezani hizo Helen atatowa mzani na kupima gram ni digital scale, atachukuwa calculator na kukuonesha pesa unayostahili kupewa, chukuwa pesa sepa, hiyo siyo biashara ya mitumba kupatana.Habari zenu wakuu, naombeni msaada, nataka kuuza hizi hereni na pete ni vya gold ila sijui chochote kuhusiana na bei naogopa nisije pata mteja nikataja bei kubwa nikachekwa au nikataja ndogo nikajinyonya.
Msaada kwa wataalam wa mambo ya grams za gold na bei zake wanisaidie bei kwa gm. Mf. Ikiwa gm 1,2,3 au 4 ni sh. ngapi ili hata nikienda kuuza vikipimwa niwe na idea ya bei walau.View attachment 2529583
Asantee ila nipo Mwanza ndugu.Kama upo Dar nenda mtaa wa Indira Gandhi kwenye maduka ya sonata yapo kibao tu, Ingia Kwa mdosi muwekee mezani hizo Helen atatowa mzani na kupima gram ni digital scale, atachukuwa calculator na kukuonesha pesa unayostahili kupewa, chukuwa pesa sepa, hiyo siyo biashara ya mitumba kupatana.
Kwani Mwanza hakuna maduka ya jewellery ya wadosi? Nenda kwao wao wananunuwa wanayeyusha wanatengeza wanachotaka.Asantee ila nipo Mwanza ndugu.
Umepewa shi ngapiAsanteni wapendwa nimeshafanikiwa japo vimekutwa na quality ya chini na gm 3 vyote vitatu, ila vimeuzika mbarikiwe mnoo kwakunipa mwanga.
Unataka ganji mkuu?πππππUmepewa shi ngapi