ajent45
Senior Member
- Mar 20, 2017
- 159
- 162
Nimekuwa na shida ya macho yenye uoni hafifu kwa miaka kama mitatu sasa siwezi kuona maandishi madogo hata nikitumia lenzi yeyote ya miwani nilienda CCBRT waliniandikia dawa nyingi lakini nilipokuwa nameza sikupata nafuu nikaamua kwenda Muhimili kwa bima niliyokatiwa na mzazi baada ya vipimo vya macho ndo nikapewa haya hiyo ya vidonge vya once a day anayo ilikuwa misaada kwangu. shida imekuja tangu mwezi wa pili mwaka 2022 hizi dawa zimekuwa hazipatikani kwenye maduka makubwa niliyozoea kununua nimehangaika kutafuta wapi wapi maisha kupewa dawa nyingine kama mbadala wake sasa hali yangu ya macho imekuwa sio nzuri nashindwa kurudi. muhimbili kwa mwenye bima akishaastafu nani sina uwezo wa kugharimia matibabu naomba msaada kama nitaweza kupata hizi dawa au kujua mbadala wake sahihi