Naomba kujua faida wanayopata NBC

Naomba kujua faida wanayopata NBC

Mimi ni mshabiki wa mpira ila mpka sasa sijui huyu mdhamini mkuu anapataje faida kwa kudhamini ligi kuu.Ukiniambia anajitangaza na anapata wateja sijui kama ni kweli maana mimi tangu aidhamini sijawahi kuvutiwa kwenye kufungua acc kwao.
Kwa Azam najua anapata faida kwa sababu anatangaza vitu ambavyo ni consumable na watu wote.Hata GSM sijui anapataje faida kwa kuwa mdhamini mwenza maana sijui kitu kingne anachouza zaidi ya Magodoro (Sijui nitanunua godoro lini).

Au kuna watu mlikuwa hamna acc NBC na sasa mmefungua baada ya NBC kuidhamini league?Kuna watu mlikuwa mnanunua magorodo kwingne na baada ya udhamini sasa mnanunua ya GSM?
Kwa Mo najua pale anapiga pesa ndefu maana watu kibao ndani ya Nchi hii wanambea,wanaingia ofsini,wanapiga vibarua,wanavuja jasho kuchimba mitaro huku WAMEBEBA SABUNI MGONGONI.

Narudia tena,Sina mpango wa kununua godoro hivi karibuni labda baada ya miaka 5 ijayo na sina mpango wa kuhamisha maburungutu yangu kupelekea NBC kisa mpira.
Biashara is directed proportional to matangazo, big gay, matangazo yanaposhamiri biashara itakuwa mara dufu, jiulize makampuni makubwa duniani kama Coca-Cola, picha ya kujitangaza Sana lakini hawakomi kutenga budget Kwa ajili ya matangazo, binadam wasahaulifu Sana!
 
Mimi ni mshabiki wa mpira ila mpka sasa sijui huyu mdhamini mkuu anapataje faida kwa kudhamini ligi kuu.Ukiniambia anajitangaza na anapata wateja sijui kama ni kweli maana mimi tangu aidhamini sijawahi kuvutiwa kwenye kufungua acc kwao.
Kwa Azam najua anapata faida kwa sababu anatangaza vitu ambavyo ni consumable na watu wote.Hata GSM sijui anapataje faida kwa kuwa mdhamini mwenza maana sijui kitu kingne anachouza zaidi ya Magodoro (Sijui nitanunua godoro lini).

Au kuna watu mlikuwa hamna acc NBC na sasa mmefungua baada ya NBC kuidhamini league?Kuna watu mlikuwa mnanunua magorodo kwingne na baada ya udhamini sasa mnanunua ya GSM?

Kwa Mo najua pale anapiga pesa ndefu maana watu kibao ndani ya Nchi hii wanambea,wanaingia ofsini,wanapiga vibarua,wanavuja jasho kuchimba mitaro huku WAMEBEBA SABUNI MGONGONI.

Narudia tena,Sina mpango wa kununua godoro hivi karibuni labda baada ya miaka 5 ijayo na sina mpango wa kuhamisha maburungutu yangu kupelekea NBC kisa mpira.
Uko na hoja usikilizwe
 
Kwa haya maelezo nimeamini wengine hakuna tujualo kuhusu mpira kama biashara zaidi ya ushabik,nisione ajabu mawakala wa wachezaji wetukubakia wale au kutoka nje. Pia ndiyo sababu mafundi wa soka wako mtaani kulikoni ktk timu kubwa. Mikataba ya kinyonyaji kwa wachezaji nk
 
Mimi ni mshabiki wa mpira ila mpka sasa sijui huyu mdhamini mkuu anapataje faida kwa kudhamini ligi kuu.Ukiniambia anajitangaza na anapata wateja sijui kama ni kweli maana mimi tangu aidhamini sijawahi kuvutiwa kwenye kufungua acc kwao.
Kwa Azam najua anapata faida kwa sababu anatangaza vitu ambavyo ni consumable na watu wote.Hata GSM sijui anapataje faida kwa kuwa mdhamini mwenza maana sijui kitu kingne anachouza zaidi ya Magodoro (Sijui nitanunua godoro lini).

Au kuna watu mlikuwa hamna acc NBC na sasa mmefungua baada ya NBC kuidhamini league?Kuna watu mlikuwa mnanunua magorodo kwingne na baada ya udhamini sasa mnanunua ya GSM?

Kwa Mo najua pale anapiga pesa ndefu maana watu kibao ndani ya Nchi hii wanambea,wanaingia ofsini,wanapiga vibarua,wanavuja jasho kuchimba mitaro huku WAMEBEBA SABUNI MGONGONI.

Narudia tena,Sina mpango wa kununua godoro hivi karibuni labda baada ya miaka 5 ijayo na sina mpango wa kuhamisha maburungutu yangu kupelekea NBC kisa mpira.
Moja wapo ni kama hiyo wewe kujua kuna NBC na kwamba ndiyo Benki ya Taifa ya Biashara
 
CC BODI ya ligi
 
Reuben alilala na mke WA baba yake LAANA Yale inamtsfuna mpaka kesho
 
Faida moja wapo kwasasa wewe unaweza kuwataja vizuri na umejua kwamba ni Benki
 
Back
Top Bottom