Naomba kujua Faini ambayo Simba SC ikijivunja Kucheza na Yanga SC itapigwa ili niichangishe kalipwe haraka tukikwepe Kikombe kijacho cha Aibu Kubwa

Yaani una Jobe na Fredy halafu kabisa Mtu mzima umekalisha Kende zako Komavu kama Kungu ndio umfunge Yanga SC?
Tartiiibuu unakuja..!! Mkiingiza timu uwanjani na hali mliyonayo hiyo siku ya tarehe 20, mtapigwa WIKI..!!
Mwenzio Kalpana kajisemea mapemaaa kwamba yeye siku hiyo hatakuwa online. Bado nasubiri kauli yako na ya Mshana Jr.
 
Ila kweli.
Hii ni aibu.
Ukilinganisha mpira utaona mtani katupita mbali.

Tupo utafikiria tunacheza mpira ule wa kufunga matambara.

Mtani tusamehe, huo uchawi wa wapi umetufanya ndembendembe hivi.

Naipenda Simba mshabiki wa damu
 
Tartiiibuu unakuja..!! Mkiingiza timu uwanjani na hali mliyonayo hiyo siku ya tarehe 20, mtapigwa WIKI..!!
Mwenzio Kalpana kajisemea mapemaaa kwamba yeye siku hiyo hatakuwa online. Bado nasubiri kauli yako na ya Mshana Jr.
Nitakua nje ya mji ila sio kwamba nakimbia mtani...huko hakuna network...lol kazi ipo mwaka huu..
 
Halafu mechi za watani zinakuwaga ngumu hata mmoja awe mbovu kiasi gani, mnyonge hataki kuonekana mnyonge
Hata ile ya 5 kwa 1 kabla ya Mechi Wapuuzi na Wanafiki mlikuja na Upuuzi kama huu. Simba SC hata turoge hadi tuukweke ( tunye ) Mavi mekundu na bluu bado hatuna Ubavu wala Timu ya kuweza Kuifunga Yanga SC na pona pona yetu labda ni Droo ambayo nayo pia nina uhakika kwa tulivyo Mipopoma ( Mipumbavu ) na Mizozola ( Mijinga ) tutaishangilia kweli kweli.
 
Mpaka kufikia GENTAMYCINE kutamka kauli za hivi kuhusu 5imba, basi ushakata tamaa mpaka mwisho hadi tamaa na yenyewe imekukatia tamaa..!!
 
Hata ile ya 5 kwa 1 kabla ya Mechi Wapuuzi na Wanafiki mlikuja na Upuuzi kama huu. Simba SC hata turoge hadi tuukweke ( tunye ) Mavi mekundu na bluu bado hatuna Ubavu wala Timu ya kuweza Kuifunga Yanga SC na pona pona yetu labda ni Droo ambayo nayo pia nina uhakika kwa tulivyo Mipopoma ( Mipumbavu ) na Mizozola ( Mijinga ) tutaishangilia kweli kweli.
Punguza matusi mkuu mi wala sijakutukana, kama mpuuzi ni wewe peke yako ungeweka uzi kwa note book yako uwe unasoma mwenyewe 😅😅
 
Back
Top Bottom