Naomba kujua haya kuhusu hizi temporarily employment za Tanzania Airports Authority (TAA)

Isenye

Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
97
Reaction score
628
Naomba kuuliza

1.Wanaposema temporarily employment wanamaanisha ni kazi za mkataba wa muda gani? Na je baada ya mkataba kuisha kuna possibility ya kuongezewa mkataba au ndo shughuli yako inakua imeishia hapo?

2.Maswali gani wanauliza hasa kwa upande wa accounts officer ii?
 
Naomba kuuliza

1.Wanaposema temporarily employment wanamaanisha ni kazi za mkataba wa muda gani?na je baada ya mkataba kuisha kuna possibility ya kuongezewa mkataba au ndo shughuli yako inakua imeishia hapo?

2.Maswali gani wanauliza hasa kwa upande wa accounts officer ii?
Link iko wapi au ni ajira portal

Account officer ni afisa hesabu daraja la pili, majukumu ni Yale Yale kama ya account officer mwingine maybe tofaut ni ndogo ndogo kulingana na kampuni husika,

Fahamu issue za kihasibu, financial statements na components zake, ni nn effect ya kimoja kikizid au kupungua?

Mfn assets vs liability

Ujue issue za company shares maake unaweza ulizwa kuhusu statement of owners equity...

nini tofaut ya equity vs capital,

Then unajua kutumia maybe Tally, quick books, advanced excel, n.k

Issue za compliance kumbuka Kuna TRA hapo lazima u deal na hesabu zake hasa VAT, PAYE, SDL, WHT kufile returns zake

Mengine ni kazi ya kawaida ya uhasibu tuu....

Nipe Tangazo nami niombe 🙏
 
Mkuu,hujanielewa,nafasi zilishatoka tangu mwezi December huko,tayari niko shortlisted for written interview tarehe 21 mwezi huu.
 
Back
Top Bottom