Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 1,994 Reaction score 1,540 May 8, 2024 #2 Hiyo inatoa mimba mkuu. Chukua jina la dawa weka kwa google. Soma utajua inatibu nini na inafanyaje kazi mkuu. Acha uvivu
Hiyo inatoa mimba mkuu. Chukua jina la dawa weka kwa google. Soma utajua inatibu nini na inafanyaje kazi mkuu. Acha uvivu
Mwanamke wa mithali 31 JF-Expert Member Joined Apr 10, 2024 Posts 1,159 Reaction score 2,577 May 8, 2024 #3 sungura69 said: View attachment 2983521 Click to expand... Inapatikana pharmacy, Inatolewa kwa chet kutoka kwa dactar Inatumika leba kumsaidia mama kupush,kuongeza uchungu na kuzuia kupoteza damu nyingi after delivery Lakini ni dawa ya vidonda VYA tumbo, Huku mtaani wameibadilisha matumizi wanawake wanatumia kufanya abortion
sungura69 said: View attachment 2983521 Click to expand... Inapatikana pharmacy, Inatolewa kwa chet kutoka kwa dactar Inatumika leba kumsaidia mama kupush,kuongeza uchungu na kuzuia kupoteza damu nyingi after delivery Lakini ni dawa ya vidonda VYA tumbo, Huku mtaani wameibadilisha matumizi wanawake wanatumia kufanya abortion
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 May 10, 2024 #4 Duhhhh!!. Kwa Maelezo hapo inatoa mimba Hatari sana Cc Smart911
lufakale JF-Expert Member Joined May 13, 2023 Posts 321 Reaction score 566 May 10, 2024 #5 sungura69 said: View attachment 2983521 Click to expand... 35000 packet ya vidonge 40
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 May 10, 2024 #6 sungura69 said: View attachment 2983521 Click to expand... Umeikuta kwenye pochi la mkeo au girlfriend wako nini? Au pengine mwanao?
sungura69 said: View attachment 2983521 Click to expand... Umeikuta kwenye pochi la mkeo au girlfriend wako nini? Au pengine mwanao?