Naomba kujua jina la huu wimbo tafadhali

Shing Yui

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
15,168
Reaction score
38,049
Habari ya jumapili wana wa Mungu.

Huu wimbo nineusikia redioni nikaupenda, sasa tatizo sijui unaitwaje ili niupakue
 
Attachments

Screenshot_20240526_111237_Google.jpg
 
😂😂😂😂😂aloooo kwan umeuliza alieimba umeuliza jina la wimbo ndugu
Okay, wimbo ulioutaja kaimba fanuel sedekia wala sio huu ninaoutafuta rafkiang
 
Habari ya jumapili wana wa Mungu.

Huu wimbo nineusikia redioni nikaupenda, sasa tatizo sijui unaitwaje ili niupakue
View attachment 2999762
Pakua Shazam play store, ifungue kisha play nyimbo yako. Rudi kwenye shazam huku nyimbo yako ina-play itasoma jina la nyimbo mpk msanii.
Baada ya hapo, itafute Google.
Hata ukiwa wapi, ukiielewa nyimbo, fungua shazam ila uwe na bando la internet tu
 
shazam haiez leta hiyo😂😂😂haiijui
 
Pakua Shazam play store, ifungue kisha play nyimbo yako. Rudi kwenye shazam huku nyimbo yako ina-play itasoma jina la nyimbo mpk msanii.
Baada ya hapo, itafute Google.
Hata ukiwa wapi, ukiielewa nyimbo, fungua shazam ila uwe na bando la internet tu
Shazam imeshindwa ndio maana nikaja huku
 
Wimbo mzuri, nasubiria jina la wimbo niupakue YouTube kama utakuwepo
 
Tumia vidmate....ndika lyrics unazokumbuka,itakuletea machaguo mbalimbali yanayoshabihiana ni nyimbo hiyo...mimi huwa natumia njia hiyo
 
Back
Top Bottom