Superfeo Songea 0627 265 483, Dsm 0657 571 820 wapigie watakupa maelekezoNdugu wapendwa! Nataka kusafirisha mizigo yangu toka Dar kuja songea lakini sijui ni kampuni zipi za usafirishaji zinahusika.
Mzigo ninaotaka kusafirisha ni freezer na sofa. Hivyo naomba mwenye kujua jina la kampuni inayotoa huduma hiyo pia na sehemu inapopatikana hiyo kampuni.
Nawasilisha ombi langu huku nikitegemea ushirikiano mkubwa toka kwenu wadau.
AsanteSuperfeo Songea 0627 265 483, Dsm 0657 571 820 wapigie watakupa maelekezo
Zipo nyingi ila nakushauri Nenda Erasto Cargo, Ipo Bavaria, nyuma ya Tigo(kamata), karikoo
Mimi nipo mkoani pia kama utakuwa na namba ya simu ya Erasto ningrimba tafadhaliZipo nyingi ila nakushauri Nenda Erasto Cargo, Ipo Bavaria, nyuma ya Tigo(kamata), kariakoo
Nashukuru sana kwa taarifa maana itanisaidia kupata huduma kwa harakaNadhani huwa kuna zile fuso zinasafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali mara ya mwishho niliona pale viwanja vya jangwani.
Hao wanakusanya mizigo mbalimbali inayoenda songea na wanakusafirishia ikifika unapigiwa simu
Ngoja nikutafutie MkuuMimi nipo mkoani pia kama utakuwa na namba ya simu ya Erasto ningrimba tafadhali
Erasto Cargo 0710008205 DarMimi nipo mkoani pia kama utakuwa na namba ya simu ya Erasto ningrimba tafadhali
Panaitwaje?Hapo katikati Kuna fukwe Kali balaa mpaka unajiuliza hivi kumbe tanzania ndio Iko hivi, Maldives zipo nyingi sana tuziendeleze tu
SikumbuKi mkuu sikuuliza , ila si mbali sana ukiwa unatokea dar nasikia tunapitia selous kitu ka hicho wajuvi watatu elekeza jina asee pakali alafu hamna watu Yani fukwe zipo zenyewe tu Yani hamna MAKAZI nadhani serikali imepatunza ndio mana Pako safi akipatikana muwekezaji ni noma asee pakali kinomaPanaitwaje?
Asante kiongoziErasto Cargo 0710008205 Dar