B bukedde Member Joined Dec 19, 2015 Posts 53 Reaction score 72 Apr 2, 2021 #1 Naomba kujua kama sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kutumia gari yenye uwezo wa kuzuia risasi kupenya (bullet proof)
Naomba kujua kama sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kutumia gari yenye uwezo wa kuzuia risasi kupenya (bullet proof)
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Apr 2, 2021 #2 Akiwa kada wa CCM haina shida kabisa mkuu.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Apr 20, 2021 #3 wa kupuliza said: Akiwa kada wa CCM haina shida kabisa mkuu. Click to expand... Kha!kha!, Kwa hiyo wa vyama vingine hawaruhusiwi?. Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
wa kupuliza said: Akiwa kada wa CCM haina shida kabisa mkuu. Click to expand... Kha!kha!, Kwa hiyo wa vyama vingine hawaruhusiwi?. Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,008 Reaction score 8,788 Jun 6, 2021 #4 Sidhani kama hiyo sheria iliwahi kufikiriwa kutungwa.