Wataalamu na wajuvi wa magari,naomba mwenye kujua kuhusu hizi gari kwenye maeneo haya yafuatayo:
1.comfortability yake.
2.fuel consumption
3.Availability of spare part zake.
4.Durability
5.Stability yake.
6.Changamoto zake.
na mengine mengi unayoyajua kuhusu chuma hii.