Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Oct 20, 2023 #1 Ndugu zangu naomba kujua mengi kuhusu hii simu. 1. Ubora wake 2. Upatikanaji wake 3 bei yake. 4. Wapi niipate NB: mimi ni muumini wa simu zenye vioo vikubwa.
Ndugu zangu naomba kujua mengi kuhusu hii simu. 1. Ubora wake 2. Upatikanaji wake 3 bei yake. 4. Wapi niipate NB: mimi ni muumini wa simu zenye vioo vikubwa.
falcon Q JF-Expert Member Joined Feb 28, 2023 Posts 972 Reaction score 2,569 Oct 20, 2023 #2 Mkuu simu imetoka juzi 18/10/2023 sidhani kama bongo imefika mtandaoni inaonesha inaweza kuuzwa kuanzia 680,000 tsh ila inaweza ikawa tofauti pia
Mkuu simu imetoka juzi 18/10/2023 sidhani kama bongo imefika mtandaoni inaonesha inaweza kuuzwa kuanzia 680,000 tsh ila inaweza ikawa tofauti pia
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Oct 20, 2023 Thread starter #3 falcon Q said: Mkuu simu imetoka juzi 18/10/2023 sidhani kama bongo imefika mtandaoni inaonesha inaweza kuuzwa kuanzia 680,000 tsh ila inaweza ikawa tofauti pia Click to expand... Hao ni kampuni gani?
falcon Q said: Mkuu simu imetoka juzi 18/10/2023 sidhani kama bongo imefika mtandaoni inaonesha inaweza kuuzwa kuanzia 680,000 tsh ila inaweza ikawa tofauti pia Click to expand... Hao ni kampuni gani?
falcon Q JF-Expert Member Joined Feb 28, 2023 Posts 972 Reaction score 2,569 Oct 20, 2023 #4 Honor brand ilikua tawi la huaweii zamani inaoneka ni bonge la simu sokoni