Naomba kujua kuhusu HONOR X9B

Naomba kujua kuhusu HONOR X9B

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
18,046
Reaction score
38,598
Ndugu zangu naomba kujua mengi kuhusu hii simu.
1. Ubora wake
2. Upatikanaji wake
3 bei yake.
4. Wapi niipate

NB: mimi ni muumini wa simu zenye vioo vikubwa.

1697810368782.png
 
Mkuu simu imetoka juzi 18/10/2023 sidhani kama bongo imefika mtandaoni inaonesha inaweza kuuzwa kuanzia 680,000 tsh ila inaweza ikawa tofauti pia
 
Mkuu simu imetoka juzi 18/10/2023 sidhani kama bongo imefika mtandaoni inaonesha inaweza kuuzwa kuanzia 680,000 tsh ila inaweza ikawa tofauti pia
Hao ni kampuni gani?
 
Honor brand ilikua tawi la huaweii zamani inaoneka ni bonge la simu sokoni
 
Back
Top Bottom