Mtumishi wa AfyaWewe ni MWALIMU wa shule ya msingi au sekondari?
Mpwayungu na walimu wanajuanaWewe ni MWALIMU wa shule ya msingi au sekondari?
Hii nayo ni I'd yako?, mbona mwandiko wa mwalimu mnuka shida
We nawe hebu tuache walimu na shida zetu kaaah... mwanaume una gubu kaahHii nayo ni I'd yako?, mbona mwandiko wa mwalimu mnuka shida
Kwani kuwa Mwalimu ni shida?Hii nayo ni I'd yako?, mbona mwandiko wa mwalimu mnuka shida
Jibu swali lofer wewe, kuwa mwalimu ni laana au hujui
Aisee kwani nikiwa mwalimu kuna tatizo lolote?Jibu swali lofer wewe, kuwa mwalimu ni laana au hujui
Mikopo hiyo huwa inatoka mara 2 kwa mwaka. Yaani kwa mara ya kwanza ni kati ya mwezi wa 3 na wa 4 na kwa mara ya pili ni kati ya mwezi wa 11 na 12.Heshima kwenu!
Nimesikia kuna mikopo inatolewa na serikali kupitia hazina kwa watumishi wa uma. Nimetafuta nyuzi humu JF kuihusu lakini nimeona michango ni kidogo sana haitoi usaidizi mzuri.
Ninaomba kwa yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu mkopo huu,vigezo na masharti vya kupata ,utaratibu wa kupata na utaratibu wa marejesho
Kwa hiyo niende mwezi wa ngapi pale Halmashauri kufuatilia mkopo huu?Mikopo hiyo huwa inatoka mara 2 kwa mwaka. Yaani kwa mara ya kwanza ni kati ya mwezi wa 3 na wa 4 na kwa mara ya pili ni kati ya mwezi wa 11 na 12.
Mara ya kwanza mikopo hiyo ilikuwa ikitolewa kwa wafanyakazi wa Serikali kuu tu lakini kuanzia mwaka huu mkopo huo umetolewa pia kwa Halmashauri za Wilaya.
Kwa sababu uko katika Halmashauri ya Wilaya maelekezo ni kama ifuatavyo:-
1. Mkopo huwa ni kidogo kulinganisha na hitaji la watumishi wa Halmashauri. Mfano zinaweza toka milioni 200 kwa kila Halmashauri wakati kila mtumishi wa Halmashauri anataka mkopo huo hivyo huwa kuna kupata au kukosa.
2. Mkopo huo hauna riba kabisa ingawa kuna asilimia fulani ndogo sana ambayo kimsingi siyo riba bali ni bima ya mkopo huo.
3. Sharti kuu la mkopo huo ni kwamba unapaswa usiwe na mkopo mwingine ili ubaki na 1 ya 3 ya mshahara wako.
4. Kuna fomu za kujaza ambazo Mkurugenzi wa Halmashauri na timu yake aliyoichagua inapitia maombi yote na kuamua nani apate na nani akose. Katika fomu hizo utabandika picha zako pamoja na salary slip yako.
5. Marejesho yake ni kukatwa katika mshahara wako kila mwezi.
wameshajibuWakikujibu unitag mzee nipite nao na mimi
Umegugo haigugiki?Heshima kwenu!
Nimesikia kuna mikopo inatolewa na serikali kupitia hazina kwa watumishi wa uma. Nimetafuta nyuzi humu JF kuihusu lakini nimeona michango ni kidogo sana haitoi usaidizi mzuri.
Ninaomba kwa yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu mkopo huu,vigezo na masharti vya kupata ,utaratibu wa kupata na utaratibu wa marejesho
Mkuu una ugomvi gani na walimu? Mimi sio mwalimu wa sekondari wala msingi.Wewe ni MWALIMU wa shule ya msingi au sekondari?
Mkuu Asante sana kwa maelezo mazuri,kwahiyo halmashauri ndio wanaamua upate kiasi gani? au muombaji unaomba unachohitaji? Loan ceiling(ukomo wa mkopo) upoje? yaani kima cha juu na cha chini cha kukopa. Mengineyo nadhani naweza kuuliza Halmashauri. Ubarikiwe sana.Mikopo hiyo huwa inatoka mara 2 kwa mwaka. Yaani kwa mara ya kwanza ni kati ya mwezi wa 3 na wa 4 na kwa mara ya pili ni kati ya mwezi wa 11 na 12.
Mara ya kwanza mikopo hiyo ilikuwa ikitolewa kwa wafanyakazi wa Serikali kuu tu lakini kuanzia mwaka huu mkopo huo umetolewa pia kwa Halmashauri za Wilaya.
Kwa sababu uko katika Halmashauri ya Wilaya maelekezo ni kama ifuatavyo:-
1. Mkopo huwa ni kidogo kulinganisha na hitaji la watumishi wa Halmashauri. Mfano zinaweza toka milioni 200 kwa kila Halmashauri wakati kila mtumishi wa Halmashauri anataka mkopo huo hivyo huwa kuna kupata au kukosa.
2. Mkopo huo hauna riba kabisa ingawa kuna asilimia fulani ndogo sana ambayo kimsingi siyo riba bali ni bima ya mkopo huo.
3. Sharti kuu la mkopo huo ni kwamba unapaswa usiwe na mkopo mwingine ili ubaki na 1 ya 3 ya mshahara wako.
4. Kuna fomu za kujaza ambazo Mkurugenzi wa Halmashauri na timu yake aliyoichagua inapitia maombi yote na kuamua nani apate na nani akose. Katika fomu hizo utabandika picha zako pamoja na salary slip yako.
5. Marejesho yake ni kukatwa katika mshahara wako kila mwezi.
laana anayo mkeo anaeshughulikiwa ovyo barabaran mbwa wewe ,acha kazi za.wazazi wetu kuku wa kideli ww. shida zao zinakuhusu nn ww shoga mkubwaJibu swali lofer wewe, kuwa mwalimu ni laana au hujui
Hiki unachozungumza wewe ni HAZINA SACCOS.Nenda hazina iliyopo mkoani Kwa kwako Kwa maelezo zaidi, mwanzo ilikua kujiunga laki 2 then unakatwa kidogo kulingana na salary slip Yako baada ya muda unaruhusiwa kukopa riba ni 2% nadhani
Sasa mkuu watajikopesha kila mwaka hizo pesa?Hiki unachozungumza wewe ni HAZINA SACCOS.
Ila HAZINA wao Kama wao Wana mikopo huwa wanatoa kila Halmashauri huwa Kuna mgawo unatoka. Ninavyosikia huwa haina riba. Na nasikia huwa Kuna sharti ili ukope inatakiwa usiwe na mkopo mwingine.
Ila tatizo kwa Halmashauri Kuna watu Wana njaa na tamaa kinoma, kwahiyo Kama Halmashauri imepewa milioni 300 ni ngumu kwa mtumishi wa chini kupata. Wanakopeshana wakuu wa idara pesa yote.