Naomba Kujua Kuhusu Mikopo ya Riba nafuu kutoka Hazina.

Sasa mkuu watajikopesha kila mwaka hizo pesa?
Yes, ni ngumu kwa mtumishi wa chini kupata.

Imagine, Wakuu wa idara Kama 10 na machawa 5 kila mmoja achukue milioni 20 tayari pesa imeisha.
 
Ngoja tukavutane mashati huko huko.
Kwani nikizama mkoani kabisa kwenye hazina ya mkoa siwezi pewa hiyo pesa nihamie kwangu nishachoka kulipa kodi na umri wangu wa kustaafu ushasogea!
 
Kiingilio laki Tano ,within two months ni bonge la ofa aseehh...kiukweli Kwenye mabenk ni kuumizana tu ukiingia hazina hutoki,natamani kuweka VN hapa ila kuko vzr sana
 
Kiingilio laki Tano ,within two months ni bonge la ofa aseehh...kiukweli Kwenye mabenk ni kuumizana tu ukiingia hazina hutoki,natamani kuweka VN hapa ila kuko vzr sana
mkuu unajiungaje hazina saccos?
 
mkuu hiyo hazina saccos ina unafuu wowote ukilinganisha na bank zetu kwenye upande wa mikopo?
 
Kiingilio laki Tano ,within two months ni bonge la ofa aseehh...kiukweli Kwenye mabenk ni kuumizana tu ukiingia hazina hutoki,natamani kuweka VN hapa ila kuko vzr sana

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…