James07392
Member
- Mar 8, 2019
- 20
- 6
Asante kakaHilo hilo, likiisha umemaliza
Wewe utakuwa Mwalimu.Samahan wanaforum..Mimi nliuza mkopo NMB kutoka faidika na bayport na kwenye salary slip deni linaonesha 7,880,000 kila mwezi nakatwa 247,000..Sasa naulza deni linaloonekana kwenye salary slip ndo hilo likiisha basi haudaiwi au kuna deni lingne lisiloonesha kwenye salary slip?
Wewe utakuwa Mwalimu.
Walimu mna matatizo sana, ila hamtaki kukubali badala yake mnaona shida ni serikali.ndio...Kwa mini mkuu
Asante ndugu yangu
DENI NI ILO ILO KWA NMB NA CRDB LAKINI UNGECHUKUA BAYPORT UNGEJUTASamahan wanaforum..Mimi nliuza mkopo NMB kutoka faidika na bayport na kwenye salary slip deni linaonesha 7,880,000 kila mwezi nakatwa 247,000..Sasa naulza deni linaloonekana kwenye salary slip ndo hilo likiisha basi haudaiwi au kuna deni lingne lisiloonesha kwenye salary slip?