Una maana Siddharta Sakyamuni?Salute Comrades...
Wakuu naomba kunfahamu huyu jamaa ni nani?
A-Z.
In short
Ndie anayeabudiwa na wachina,wathailand,wavetenam etc..
Alikua mtu wa watu sana, mwenye huruma hadi akaenda kuishi porini ili kujitesa mwenye (Alikua mtoto wa kitajiri)
Kama nimekosea mnisahihishe..
Nataka kujua zaidi juu ya mtu huyu..
Cc.
wick zitto junior Pascal Mayalla mshana jr
Inaweza kuwa hujarealise upo stage gani ila through meditation kama anavyorecommend gautama ndio utajua umetoka wapi na unakwenda wapi kwenye maisha haya hivyo basi kwa imani hii unaweza ukapitia magumu mengi ukaishia kulalamika kumbe hujui maisha yaliyopita ulikuwa kibaka ndio maana mabaya yanakuandamaSory hapo kidogo..mimi mbona sjikumbuki maovu na mazuri...au ndio nipo stage ya kwanza Kwenye life cycle?
Teach me how to meditate..Mkuu ndio imani yao hiyo na wanaamini ukifanya meditation ndio utajua ulipotoka na wapi unakwenda
Jiulize ulishwahu fanya meditation kabisa ile ambayo hata nzi akipita mita 50 unamsikia?? Gautama alifanya hiyo so na wwe jaribu unaweza pata majibu otherwise kwa imani yao ukifa na madhambi maisha yajayo utakuwa mmachinga huko bamako !!!
Je tukishika amri kumi za Mungu dunia haitokua poa?Inaweza kuwa hujarealise upo stage gani ila through meditation kama anavyorecommend gautama ndio utajua umetoka wapi na unakwenda wapi kwenye maisha haya hivyo basi kwa imani hii unaweza ukapitia magumu mengi ukaishia kulalamika kumbe hujui maisha yaliyopita ulikuwa kibaka ndio maana mabaya yanakuandama
So ili uivunje chain fuata zile kanuni 8 za maisha basi utakuwa huru kutoka maisha ya mzunguko
Japo alifunga vya kutosha maishani mwake alifariki kwa kuvimbiwa na chakula.Yes ofkoz
Alipokuwa mtoto mtu mmoja "matakatifu" (sage) alimwambia baba yake Siddartha: "Mwanao akibaki ndani ya ngome ya Kasri ya Mfalme, atakuwa Mfalme maarufu sana na mkuu. Laiti akitoka nje ya ngome na kuzunguka zunguka huko na huko, atakuwa kiongozi mkubwa wa kidini." (FUME, 1979)Yes ofkoz
Yapo mambo manne ambayo baba yake Siddartha hakutaka mwanaye ayaone: 1. Magonjwa yaliyomo duniani 2. Umaskini wa kupindukia 3. Mtu aliyezeeka sana na 4. Maiti ya mtu aliyekufa (Fume 1979)Yes ofkoz
So tupo kwenye mzunguko wa kubadilishana avatar sindio?Inaweza kuwa hujarealise upo stage gani ila through meditation kama anavyorecommend gautama ndio utajua umetoka wapi na unakwenda wapi kwenye maisha haya hivyo basi kwa imani hii unaweza ukapitia magumu mengi ukaishia kulalamika kumbe hujui maisha yaliyopita ulikuwa kibaka ndio maana mabaya yanakuandama
So ili uivunje chain fuata zile kanuni 8 za maisha basi utakuwa huru kutoka maisha ya mzunguko
mshana jr ndio eneo lake hilo au fika kwenye ma temple ya buddha utapata wakati mzuri zaidi wa kufocus huko na kujua sababu ya kwanini upo dunianiTeach me how to meditate..
Wengine walitenda zile kanuni 8 hivyo wamevunja hyo circle.... Pia wengine hawazaliwi wanyama unaweza zaliwa punda au hata maua!!! It all depends uliishi maisha ya aina gani kabla ya kifo so so usikute punda anayebeba mamizigo unamwasha fimbo ndio saddam hussein!!!So tupo kwenye mzunguko wa kubadilishana avatar sindio?
But waliokufa ni wengi kuliko walioko duniani kwa sasa..it means kunawangine wakifa hawarudi tena duniani kuvaa avatar /miili mengine?.
Hakuwa sanamu alikuwa binadamHuyo ni sanam kama sanam nyingine, na hao ni waabudu sanam.
Hakuna sheria moja kati ya zile 8 ambazo ukristo au uislam hauzikubali hivi kuna dini inapinga maisha ya kujinyima?? Yaani ya kuwa na kiasi??Je tukishika amri kumi za Mungu dunia haitokua poa?
Budha aliishi miaka 500 before christ kumbe mafundisho yake hayana connection ya moja kwa moja na ukristo pamoja na uislam, yenyewe yapo kama yalivyoNdg yangu mshana hivi Buddha huwa wanamzungumziaje Mtume Muhammad na Yesu katika iman za kibudha?
ππππππππππYes kuendana na nadharia hii hivyo maisha unayoishi sasa ni matokeo ya maisha uliyoishi hapo kale!! Kwahyo kma sahivi ni mpiga debe pambana na hali yako ππ
sasa mkuu itafaa nini kama utazaliwa bila kujitambua kuwa ndio wewe yule uliyekuwa ukitesa na mali zako au ukiua watu.. kwamba sasa haya ni malipo
Mkuu ni imani yao hiyo na wanadai unaweza ukapigika mpka siku ufanye meditation ya kwanini maisha yako yapo kma yalivyo hapo ndio utajua how ur past life has affected ur current one ila bilo hivo utaishia kwenye mzunguko wa kuhangaika mileleUMEULIZA SWALI LA MSINGI SANA AMBALO HAWATAKUJIBU. MFANO MIMI SIFAHAMU HAPO KABLA NILIISHI MAISHA GANI NA YAME AFFECT SASA KWA NAMNA GANI. AT least mtu angekuwa anajua sasa amezaliwa mbwa au samaki sababu alitenda maovu.otherwise ni upuuzi tu uso na maana.
Mkuu ni imani yao hiyo na wanadai unaweza ukapigika mpka siku ufanye meditation ya kwanini maisha yako yapo kma yalivyo hapo ndio utajua how ur past life has affected ur current one ila bilo hivo utaishia kwenye mzunguko wa kuhangaika milele
So jibu hapo ni dogo tu kwamba kma hukumbuki then MEDITATE
Haha umeniwahi kuuliza mkuu.sasa mkuu itafaa nini kama utazaliwa bila kujitambua kuwa ndio wewe yule uliyekuwa ukitesa na mali zako au ukiua watu.. kwamba sasa haya ni malipo